Habari Kali
Loading...

KWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-4

Tumekuwa tukiangalia tatizo la wanawake wengi kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Tumeangalia jinsi tatizo hili linavyoisumbua jamii yetu pia tumejua kuwa mwanamke kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa si jambo la kawaida ni tatizo linaloweza kutibika.
Zifuatazo ni njia za kuondoa tatizo hilo. Wengi wanatarajia kuambiwa wameze dawa fulani ili kuondokana na tatizo hilo. Ukweli ni kwamba ili mtu kurejea katika hali ya kawaida. Kama una tatizo hilo ni vema ukawaona matabibu kwa ushauri  na uchunguzi ili kujua chanzo cha tatizo na upate matibabu. Ni vema kwa wanawake wenye tatizo hilo washirikiane na wanaume zao ili kuliondoa.
Katika nchi zilizoendelea, wataalam wamekuwa wakigundua dawa na vifaa tiba vipya vya kuondoa tatizo hili na vingi bado ni vya bei kubwa au vinapatikana kwa shida.
Vipo ambavyo vimeonyesha mafanikio makubwa, mifano ya vitu hivyo ni Suction Vibrators, Desire Creams na Erection Drugs. Habari njema ni kwamba tatizo hili linaweza kutatuliwa kwa mimea tiba na matunda tiba ya kawaida ambayo ipo katika mazingira yetu yanayotuzunguka.
Utafiti umeonyesha kuwa tunachokula ndicho kinachotujenga na kutufanya tuwe watu wa aina gani. Vyakula tunavyokula vina mchango mkubwa katika kujenga au kubomoa afya zetu hivyo ni muhimu kuwa makini katika kuamua tule nini na tunywe nini.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya chakula tunachokula na afya ya viungo vya uzazi. Baadhi ya chakula na virutubisho vimehusishwa na hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Virutubisho ndani ya chakula ambavyo vinasaidia hali hiyo ni antioxidants, vitamin C, vitamin E, potassium na zinc.
Kirutubisho cha zinc kinaongeza mbegu kwa mwanaume (sperm count) hivyo humsaidia kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Chakula chochote chenye virutubisho hivi vikiliwa humfanya mlaji asikie hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Baadhi ya vyakula kula na matunda tiba hayo ni kama vile:
Tikitimaji-Hili linachukuliwa kuwa ndilo tunda bora katika kuboresha afya ya mapenzi. Tunda hili lina asilimia 92 ya maji na asilimia 8 zinazobakia zina Phytonutrient Citrulline ambayo hugeuzwa kuwa Arginine. Arginine ni Amino Acid ambayo hufanya mishipa ya damu kuwa kwenye hali ya ubora wake na kusaidia damu kupita vizuri zaidi.
Tikitimaji husaidia damu ifike kwa kiwango kizuri zaidi kwenye sehemu ambazo hutakiwa kutanuka wakati mtu akipata hisia za kufanya tendo la ndoa ambazo ni viungo vya ndani ya kisimi cha mwanamke na ndani ya uume wa mwanaume.
Parachichi-Tunda hili lina vitamini E ambayo ni antioxidant. Ndani ya tunda hili kuna potassium na vitamini B6 ambavyo huboresha afya ya moyo na kusaidia mzunguko wa damu.Strawberries–Tunda hili lina antioxidants kwa kusaidia afya ya moyo na mishipa ya damu (arteri) na vitamin C ambayo huongeza kiwango cha mbegu kwa mwanaume.
Kuna mchanganyiko wa matunda ukisagwa pamoja na kunywewa umeonyesha kuongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Kwa ziada unaweza kutumia karafuu, mayai na tangawizi pia.
Nikushukuru msomaji kwa kufuatilia makala hizi, ushauri ni kwamba unapotumia matunda tiba haya bila mafanikio tembelea Sigwa Herbal Clinic kwa uchunguzi na matibabu ya uhakika.

HIVI UNAJUA SIYO LAZIMA ALIYEKUTOLEA MAHARI AKUOE?? SOMA HAPA

Katika ulimwengu wa sasa ndoa ni kitu cha heshima. Mwanamke kupata mwanaume wa kumuoa ni jambo la faraja lakini pia mwanaume kumpata mke bora ni kitu kinachoongeza furaha katika maisha.Hata hivyo, suala la kuoana si la kukurupuka, ni suala linalotakiwa kuchukua muda ambapo wawili waliotokea kupendana hupata nafasi ya kuchunguzana katika mambo kadha wa kadha.
Kabla ya kufikia hatua ya kuoana, ni lazima mtaanza kuwa marafiki wa kawaida. Kipindi hicho unapata fursa ya kumtathmini kujua kama huyo uliyemzimikia ana vigezo vya kuwa wako wa maisha ama laa.
Ukishajiridhisha kwamba uliyenaye ni mtu aliyedhamiria kukuoa na hawezi kuja kukufanya ukajuta, ingieni kwenye hatua ya uchumba na wakati huo penzi lenu halistahili kuwa la siri tena.

Angalizo
Wakati mko kwenye urafiki wa kawaida, usiwafanye wale ambao wanawazunguka kujua wazi kwamba kuna kitu kinaendelea kati yenu.Abaki kuwa rafiki wa kawaida na ndugu pamoja na marafiki zako hawastahili kumjua, hata kama watataka umtambulishe kwao, waambie ni rafiki tu.Baada ya kuingia kwenye uchumba, hapo sasa kila mmoja lazima ajue nyie mko vipi na mna malengo gani.

Mwanamke kuwa
makini na hili
Kama mwanamke utakutana na mwanaume kwa mara ya kwanza, akakueleza kwamba anataka kukuoa, huyo ni msanii.Nasema hivyo kwa kuwa, hakuna suala la ndoa pale wawili wanapokutana kwa mara ya kwanza. Kubaliana naye pale atakapokuambia anakupenda na baada ya hapo anza kumchunguza kama ni muoaji kweli.

Ukivutiwa naye ufanyeje?
Kimsingi unapovutiwa na mtu fulani na ukakubali kuanzisha uhusiano naye, jambo la msingi ni kuwa makini sana na nyendo zake katika maisha yenu ya kila siku. Mchunguze kwa undani, je anafaa kuwa mke ama mume wako?
Isije ikatokea eti kwa sababu mmekuwa wapenzi kwa muda mrefu basi atakapokutamkia kwamba anataka kukuoa basi ukubali tu hata kama umeona kwamba maisha ya ndoa yenu yanaweza kutokuwa ya furaha.

Chui pia wamo
Tunajua kwamba wapo ambao katika urafiki na uchumba watajifanya wanyenyekevu, wapole na wenye mapenzi ya dhati lakini kumbe hamna lolote, ni chui walioficha makucha.

Siyo kila mchumba
lazima akuoe
Unachotakiwa kujua kwenye ulimwengu wa maisha ya kimapenzi ni kwamba, siyo kila mwanaume ambaye ndugu zako na marafiki wanajua ni mchumba wako na ameshakutolea mahari anastahili kukuoa. Unayo nafasi ya kusitisha uchumba endapo umebaini kitu ambacho kinaweza kuja kukuharibia maisha yako, hata kama mahari imetolewa na bado siku chache ndoa ifungwe. Nasema hivyo kwa kuwa, ukishaolewa hasa kwa ndoa hizi za Kikristo huwezi kuja tena kuomba utoke. Ukiingia umeingia.

Ndiyo maana inaelezwa kuwa, ndoa si kitu cha kubahatisha kwa kuwa ukikosea kuchagua mwenza sahihi, umeharibu sehemu kubwa ya maisha yako yaliyobaki hapa duniani.Watoto wa mjini wanasema, bora kukosea kujenga nyumba kuliko kukosea kuchagua mwenza. 
Hitimisho
Nyota njema huonekana asubuhi na kikubwa zaidi unatakiwa kuwa na imani na mtu ambaye una mpango wa kuanza naye maisha ya ndoa. Kuwa na imani na yule uliyejaaliwa kuwa naye. Epuka sana kumfikiria tofauti, epuka kuwasikiliza watu. Nasema hivyo kwa kuwa, unaweza kumpata mtu ambaye Mungu kakupangia awe wako wa maisha lakini watu wakakupa maneno mabaya kuhusu yeye na ukaamua kumuacha.

Lakini pia unaweza kupata mchumba, ukawa ‘unamind’ vitu vidogovidogo, matokeo yake kila mchumba unayempata unaona hafai. Weka akilini kwamba hakuna mtu aliyekamilika kwa asilimia 100.

Tafadhali: MWANAUME Anayeuliza Maswali Haya Mawili ni wa Kumuepuka Kama Ukoma


Kama we mwanamke umekuwa na mwanaume ambaye hamjawahi kusex hata mara moja lakini ndio mnaanza uhusiano then katika chatting za hapa na pale mwanaume akakuuliza haya maswali mawili ujue mbovu wa wabovu, hajui kugegeda na anakibamia. Mkimbie kabisa

MASWALI YENYEWE HAYA HAPA:

1. Huwa unatumia muda gani kufika kileleni?
Ukiona mwanaume kakuuliza swali hilo, ujue yeye ni ''ONE MINUTE MAN'' yaani akiingiza tu kamwaga na mgegedo wake hausimami tena. Sasa anawaza huyu mwanamke kama muziki wake ni wa nusu saa mpaka saa zima nitauweza kweli hivyo anakuuliza mapema ajijue. Ukimtajia dakika nyingi, utaona hana hata nguvu ya kukulazimisha mkagegedane.

2. Huwa unapenda mgegedo wa aina gani?
Hili pia ni moja ya swali ambalo wanaume vibonde huwauliza mademu ambao hawajawahi kusex nao. Mwanaume anayeuliza swali hilo mara nyingi huwa anakuwa ana kibamia hahahaha.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Nimetembea Kimapenzi na Dada Yangu wa Damu Nikampa Mimba na Kuzaa Mapacha..Muda wa Kuoa Mimi Umefika Dada Hataki Nioe

Marafiki habari za kuhaingaika
Kwetu tumezaliwa wawili tu mapacha , Mimi na Dada yangu, baba yetu alikua mkali na mkoloni sana hatukuruhusiwa kutoka nje kabisa labda shule tu na tulienda na Gari la nyumbani
Tulikua tukiishi mkoani na ilikua ni mwishoni mwa miaka ya tisini

Tukiwa form six, nadhan tulikua tumefunga shule tukiwa home, Dada yangu aliletewa mkanda Wa kikubwa na Rafiki yake baada ya Rafiki kuondoka tukawa tunauangalia sielewi ni nini kilitupata tukajikuta tumezini, mm kwangu ilikua ni Mara ya kwanza ila nadhan mwenzangu alikua tayari keshafanya huko nyuma

Ikawa kila siku tunafanya wazazi wakiondoka
Kuja kustuka haoni siku zake akamwambia mama naye akamwambia baba
Sijui niwaeleza lugha gani muweze kuelewa kilichotokea
Ilikua ni mtiti akaambiwa aeleze ni nani aliempa mimba akawa anasingizia wanafunzi wenzie shuleni, wakifika shule anababaika anashindwa kutaja basi akafukuzwa shule hata mtihani Wa mwisho hakufanya

Wakati hilo halijaisha biashara za Mzee zikaanza kuyumba vibaya vibaya na alikua na deni kubwa sana benki wakaja kuuza nyumba tunayokaa bado haikutosha
Nyumba tuliyohamia ikapigwa mnada pia
Mzee akapata stroke, tukaanza kuhangaika nae kila hospital,
Mtihani Wa mwisho ulipofika sikuweza kufanya kitu nilikua naangalia tu makaratasi maana tulitoka maisha ya juu ghafla tukaporomoka hadi chini ndani ya miezi 9-12
Mzee akawa amefariki tukaenda kuzika kijijini
Hakukua na chochote kilichobaki mjini si nyumba nini
Tumezika kama Leo wiki moja mbele Dada akajifungua mapacha Wa kiume kama sisi tulivyo mapacha

Baada ya ndugu kutawanyika na miezi minne kupita tukiwa bado kijijni maana tulipanga tuishi huko huko mjini hatukua na chochote mama aliniita akaniambia niende mjini nikaangalie matokeo yangu ndipo tunaweza kupanga tufanye nn
Matokeo yalikua mabaya

Usiku mmoja mama na babu wakaniita babu akaniambia chukua hawa ngombe ukauze wote utuachie watano tu
Hii ndio mali pekee Mzee wako alioacha, walikua ngombe 200
Nikapewa baba zangu wadogo tukaenda mnadani tukauza nikapata pesa nyingi mno

Nikaja dar kutafuta maisha na kiasi hicho cha pesa
Nikawa nanunua ngombe mkoani naleta dar hadi mtaji ukaongezeka mara tatu

Nikafungua biashara zingine na nikanunua kiwanja boko na nikajenga
Nikarudi kijijini nikamchukua Dada yangu na watoto had I mkoani wakiwa na miaka mitano nikampangia nyumba na kumfungulia biashara lengo ni watoto waanze la kwanza hivyo walitakiwa maandalizi ya nursery
Mama tulimwacha kijijini alikataa kabisa kuja mjini
Siku moja tuliagiza pombe walau tusherehekee mafanikio maana hatukumini kama tungefika hapo
Baada ya kunywa sana nikaona nikalale akanifuata chumbani na kuanza romance nikamzuia nikamwambia hatupaswi kurudia kosa hili, tushukuru huenda ni mpango Wa mungu Mzee kufariki kabla hajajua mm ndio nilikupa mimba
Na bado hatujui siku mama akijua itakuaje
Akaniambia yeye hataki mwanaume mwingine zadi yangu na kwamba ananipenda mm tu
Nakuja kustuka hivi na boxer na vest ameshavitoa huku akiendelea na zoezi moyo wangu ulishakataa ila mwili ukawa dhaif tukawa tumezini

Tangu hapo huwa anakuja dar tunafanya nashindwa kuresist ile pressure
Nikapata msichana mmoja dar alipokuja dar akatukuta nae kwangu alifanya fujo na kumpiga vibaya yule binti hadi majirani wakaniambia kumbe ulishaoa husemi, mi nashindwa kuwajibu
Nikapata demu mwingine Dada yangu alipokuja akakagua simu akaona SMS za mapenzi akampigia akamtukana sana akamwambia yule demu eti nimeoa na nna watoto wawili demu akakimbia kimoja

Nimepata Dada mmoja Wa benki tunapendana sana na tumepanga kuishi pamoja lakini kikwazo ni Dada yangu
Akigundua tu ni balaa
Sijui nimwambie huyu banker in advance kuhusu ili tatizo?

Marafiki naombeni ushauri
Maana mama mwenyewe anataka nioe nitulie

Dada anasema nisijidanganye kuoa ni kazi bure
Nikimwambia tafuta mtu wako na wewe uolewe hanielewi

Nifanye nini?
Naogopa laana

NAOMBA USHAURI : MCHUMBA ANATAKA NIKAJITAMBULISHE KWAO AU TUACHANE NA MIMI SIJAWA TAYARI ,JE NIFANYEJE?

Nimekuwa kwenye uhusiano na mpenzi wa roho yangu kwa takriban miaka mitatu.
Kwa kipindi chote hicho tumekuwa tukiishi mikoa tofauti. Yeye anafanya kazi Babati na mimi nafanya kazi Dodoma.
Licha ya umbali uliopo tumeishi kwa upendo na kuaminiana na hata ndugu na wazazi wanajua kuhusu uhusiano wetu tukitarajia kuja kufunga ndoa baadae. 
Siku za karibuni amekuwa akisisitiza sana nikatoe mahali kwao nami nikawa namuambia sawa tutafanya hivyo na nimemueleza sababu ya kuchelewa ni matatizo ya kifamilia yanayonikabili.
Ghafla wiki iliyopita alikata mawasiliano na hataki pokea simu yangu wala kujibu sms.
jana nimekaa nawaza akanitumia sms kuwa nadhani nishaamua kama namhitaji niende kwao Marangu kabla ya tar 29 mwezi huu vinginevyo simuhitaji.
Kweli nimeishiwa nguvu kwa kuwa sidhani kama kwenda kwao kwa kuforce kwa deadline ni vyema. Anajua kuwa nampenda sana lakini sasa hakuna my love wala sweet.. Ni mwendo wa hey na hello yan full ubabe. Nishaurini wakuu maana natarajia kwenda lakini kwa sasa sijajipanga kusema kweli

MAPENZI: HEBU SOMA HAPA JIFUNZE JINSI YA KUMFURAHISHA MWANAMKE ASIKUSAHAU KWENYE TENDO LA NDOA, KILA KITU KIPO HAPA

Katika mwili wa mwanamke kunasehemu nyingi sana zinazoweza kumpa mshawasha na hamasa kubwa wakati wa tendo,achilia mbali sehemu nyingi zilizozoeleka na watu wengi kama vile kisimi, kuna sehemu moja ambayo ni bab kubwa kiasi cha kwamba mwanamke akishughulikiwa ipasavyo anaweza kukojoa mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja Sehemu hiyo si nyingine bali ni G SPOT au kwa Kiswahili baadhi ya watu huita kipele G, sehemu hii iko ndani ya uke umbali wa kama nchi tatu hivi ukuta wa juu.Sehemu hii ikiguswa tu mwanamke huhisi msisimuko wa ajabu kutokana na ukweli kwamba sehemu hii inahisia nyingi kuliko kawaida pale inapoguswa.

Sehemu hii ni vigumu kidogo kuguswa kisawasawa kwa kutumia uume,badala yake njia muafaka ni kutumia kidole cha kati pale ambapo mwanaume unatakiwa uingize kidole chako kwenye uke wa mpenzi wako umbali kama wanchi tatu hivi kisha uwe kama unakunja kidogo kidole kwa juu ili uweze kugusa ukuta wa juu. Punde tu ukigusa sehemu hii utamsikia mwanamke kama ana ruka kidogo kwa juu na hapo hapo utamwona akilegeza macho na lazima usikie akifanya assshhhhhhhhhhh kutokana na hisia za utamu wa aina yake anaoupata mtu huyu

UNATAKA ANAYEKUFAA, WEWE UNAMFAA?


NiJumanne nyingine tunakutana tena katika safu yetu ya Maisha na Mapenzi, vitu vinavyochukua sehemu kubwa ya maisha yetu ya kila siku.
Leo ninazungumza nanyi kuhusu kutamani au kuwa na mtu anayekufaa katika uhusiano wa kimapenzi; je, wewe mwenyewe umejitathmini kama utamfaa?Ni ukweli usiopingika kuwa kila mtu maishani mwake anatamani kuwa na mwenza mzuri kitabia na kimuonekano ambaye atamfaa kimapenzi kwa shida na raha, katika kumtimizia haja zake na mengineyo.
Suala la kujichagulia mwenza kabla ya kumpata ni jema kwani hata mzazi anapomsomesha mtoto wake shule ya gharama, lengo lake huwa ni kumuandalia mazingira ya maisha bora siku za usoni. Ingawa mzazi husahau kujiuliza kama anayemuandaa yuko tayari kwa maandalizi hayo?
Ni utamaduni wa siku zote kuwa kila mmoja huchagua mwenza anayemuona anamfaa. Hata hivyo, hapa ningependa kuwazungumzia wanaume ambao asili na tamaduni za kiafrika zinawapa ufalme wa wao kuwa ndiyo wachaguzi wa wanawake wawapendao.
Kuna siku nilikuwa kijiweni na vijana wenzangu, stori kubwa ilikuwa ni kuhusu kuwa na mwenza anayekufaa, wakisema mwanaume anatakiwa kuwa makini kumpata mwanamke anayefaa, vinginevyo atachukua kimeo.
Kwamba, baadhi ya wanawake wana tabia mbaya, kiasi cha kuweza kumfanya mwanaume akajikuta akimwaga machozi kwa kuwatupa ndugu na jamaa zake kwa sababu tu ya mtu aliyemuweka ndani.
Kitu nilichogundua ni kwamba sehemu kubwa ya wanadamu, wengi wetu tunashindwa kujifanyia tathmini ya udhaifu na uwezo tulionao ili tuweze kufanya mabadiliko na maamuzi sahihi katika maisha ya kimapenzi.
Yawezekana mwanamke akawa ni mtu anayefaa lakini mwanaume akawa ndiyo kimeo, tena siyo kimeo tu bali kimeo aliyeshindikana, maana wanafunzi na wahudumu wa baa za mtaani kwao wote wanamfahamu, kama inavyoweza kuwa kwa bi dada, kwamba yawezekana madereva wa bodaboda, bajaj na hata Mangi wa dukani wanajua alama zote zilizomo mwilini mwao.
Kwa hiyo nimalizie mada yetu ya leo kwa kusisitiza kuwa ni muhimu sana kuwa makini wakati tunapofanya uamuzi wa kuwa na mwenza kwa ajili ya maisha yako ya baadaye ya kimapenzi.
Kitu cha msingi cha kukumbuka ni kwamba kuna makosa mengi ambayo binadamu anaweza kuyafanya, lakini kati ya hayo, kosa kubwa na lenye athari kubwa zaidi ni lile la kukosea kuchagua mwenza wa maisha yako!
Huu ni mwisho wa makala haya, tuungane wiki ijayo katika makala mengine.

NJIA BORA YA KUISHI NA MARAFIKI WA MWENZI WAKO-2

Uhali gani msomaji wangu wa kona hii murua, ni matumaini yangu uko sawa. Kwa wewe ambaye afya yako inaleta mushkeli, nakuombea upone haraka na kurejea kwenye majukumu yako ya kila siku.
Ni siku nyingine nzuri tunapokutana kujadiliana kile tulichokuwa tumeanza kukijadili wiki iliyopita. Mada iliyopo mezani ni njia bora za kuishi na marafiki wa mwenzi wako.
Kwa lugha nyepesi namaanisha kama wewe ni mwanaume, unawezaje kuishi na marafiki wa kike wa mwenzi wako na kama wewe ni mwanamke, unawezaje kuishi na marafiki wa kiume wa mwenzi wako?
Wiki iliyopita, tulijadili kwamba jambo la kwanza ni kujiheshimu na la pili ni kujiwekea mipaka. Leo tunaendelea na njia nyingine za namna ya kuishi vizuri na marafiki wa mwenzi wako.

3. EPUKA KUKUTANA NAO MKIWA PEKE YENU
Mathalani wewe ni mwanamke na kuna rafiki wa kiume wa mwenzi wako anakupigia simu na kukushawishi ukutane naye sehemu fulani, tena mkiwa wawili tu huku akikusisitiza kwamba mwenzi wako hapaswi kujua, hiyo ni dalili kwamba ana nia mbaya na wewe.

Kama kweli unampenda mwenzi wako na haupo tayari kumpoteza, unapaswa kumueleza kuhusu suala hilo na kwa pamoja mjue namna ya kukomesha tabia hiyo.
Endapo ukikubali kuanza kuwa unakutana naye katika mazingira yaliyojaa utata, utakuwa unahatarisha uhusiano wako.
Kwa mfano siku ikatokea ghafla mwenzi wako akakukuta ukiwa na rafiki yake, katika mazingira yaliyojaa utata, tena mwenyewe akiwa hana taarifa yoyote juu ya kukutana kwenu unategemea utakuelewa vipi?

4. KUWA NA MSIMAMO
Kuna usemi ambao siku hizi umezoeleka kwamba kwa mwanamke kutongozwa ni suala ambalo haliepukiki. Wanaume wengi wana hulka ya kupenda kutongoza bila kujali anayemtongoza ni nani.
 Hata kama anajua kabisa huyu ni mke wa rafiki yake, atajaribu kumtongoza na kumchombeza kwa maneno ya kimapenzi.
Endapo mwanamke atakosa msimamo, ni dhahiri atakubali kwa kuamini kwamba anapendwa sana na mwisho itakuwa ni kumsaliti mwenzi wake ambaye ndiye aliyemfanya akafahamiana na huyo anayemtongoza. Huu ni ulimbukeni wa hali ya juu kwa sababu unapotongozwa hulazimishwi kukubali.

Mwanamke mwenye msimamo, anaweza kukabiliana vyema na hila za wanaume, wakiwemo marafiki wa karibu wa mume wake bila kusababisha usaliti wa aina yoyote. Kama kweli unampenda, kuwa na msimamo na usiwe mwepesi wa kukubali kila unapotongozwa.

5. DUMISHA UAMINIFU
Njia kubwa kuliko zote ambayo inaweza kuufanya uhusiano wako na mwenzi wako kuwa salama muda wote, ni kudumisha uaminifu katika mapenzi yenu, bila kujali kama mwenzi wako yuko na wewe au yupo mbali.
Jiwekee nadhiri kwamba utampenda, kumlinda na kumheshimu siku zote na kwamba huwezi kumsaliti hata iweje.
 Ifanyie kazi nadhiri yako na hakika, hakuna kitakachokuyumbisha.
Kwa leo tuishie hapa, kwa mada nyingine tukutane wiki ijayo.
Kwa maoni, ushauri, nicheki kwa namba za hapo juu.

Je, unapenda kuwa mrembo na mwenye mvuto kwa haraka?

MARKSON BEAUTY PRODUCTS 2015  inakuletea bidhaa zenye ubora na matokeo ya haraka zisizo na kemikali wala madhara kwa mtumiaji.
Kutengeneza shepu (hips na makalio).
Tuna uzoefu wa miaka 15 na bidhaa zetu zote zimethibitishwa.        
TUNAZO BIDHAA ZA:-
1. Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @80,000/=.
2. Kutengeneza shepu (hips na makalio) @90,000/=.
3. Kuwa mweupe na softi mwili mzima @80,000/=.
4. Kuondoa mvi milele zisirudi @90,000/=.
5. Kuongeza maumbile na nguvu za kiume kwa:-
(i)  Gely ya kupaka @70,000/=
(ii)  Vidonge maalum@90,000/=
(iii) Mashine original ya Handsome up@200,000@/=   
6. Kupunguza unene na uzito wa mwili mzima @80,000/=.
7. Kushepu maziwa na kuyasimamisha @70,000/= 
8. Kuongeza unene na uzito wa mwili mzima @80,000/=  
Kabla na baada ya kutumia dawa zetu za kupunguza unene na uzito.
9. Kupunguza tumbo na nyama za pembeni kwa:-
(i) Dawa @80,000/=
(ii) Mkanda wa kawaida @80,000/=
(iii) Mkanda wa umeme (Micro computer belt) @200,000/= 
10. Kushepu miguu na kuwa minene (Chupa ya bia) @70,000/=  
11. Kuondoa mipasuko (Michirizi) mwilini @70,000/=
12. Kubana uke na kuongeza hamu ya tendo la ndoa @80,000/=        
Kuongeza maumbile, nguvu za kiume na hamu ya tendo la ndoa.
NB. Hakikisha unapewa risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON BEAUTY PRODUCTS pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.       
WASILIANA NASI KWA:
No. (+255 ) 0767-447444 na 0714-335378

WEWE MWANADADA KAMA UNATAKA KUOLEWA HARAKA SANA FANYA HAYA NA UTAPATA BWANA WA KUKUOA FASTA



Wadada wengi wa Mjini Wengi wamekuwa na dhana kuwa ukionyesha maungo ya mwili kwa kuvaa vinguo vifupi basi wataolewa haraka lakini kumbe wanajidanganya na kuishiwa kumegwa na kutupwa kule



Mie nawaambia Hivi Ukitaka kupata mchumba wa maana basi fanya yafuatayo:



Vaa nguo ndefu kuvuka magoti, zisiwe transparent, kifua kisiwe wazi, viatu flat, kucha na kichwa visiwe na manjonjo mengi, usiwe mwongeaji ovyo,epuka unywaji pombe, unnecessary outing, ukali usio wa lazima, nidhamu kwa wote, upole, bila kusahau usafi na ibada.

Ukiyafanya hayo yote hata kama umejificha uvunguni utaonekana tu! Bisha!

YAMENIKUTA: MCHUMBA WANGU AMEZAA ANGALI BIKRA

 
Wanajamvi habari zenu. Mimi nina mchumba wangu ambaye ni mkristo mwenye imani sana na dini yake. Mtaratibu, mpole, na ana heshima sana. Katika mahusiano yetu hatujawahi kufanya mapenzi mpaka tutakapofunga harusi na pia ni bikra. Nilipata safari kwa mda nimerudi nimemkuta amejifungua mtoto wa kiume. Nimeshangaa namuuliza kulikoni, anadai mimba hiyo alipewa na malaika.

Nimemwamini ila nikamuambia kama ndivyo basi huyu mtoto atakuwa nabii hivyo amsimamishe ili atembee juu ya maji kama Yesu, akaniambia amefunuliwa ndotoni kuwa mtoto huyo ataanza kufanya maajabu atakapofikisha miaka mitano.

Hapa nimeanza kupata shaka naombeni ushauri!

KWA WANAUME: Watafiti wabaini mtindo wa Mwanamke kuwa juu ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa ni hatari kwa wanaume!


Wanasayansi nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi katika ufanyaji tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume.

Kwa mujibu wa utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndio hatari zaidi na huwa na risk kubwa zaidi ya kusababisha hata kuvunjika kwa uume.

Wanasayansi hao wanasema:
Pindi mwanamke anapokuwa juu, mara zote hucontrol movement na uzito wote wa mwili wake ukitua kwenye uume uliosimama na kushindwa kuzuia pale uume unapokuwa umeingia vibaya kwasababu madhara huwa ni madogo kwa mwanamke bila maumivu lakini ni mabaya kwa mwanaume.

“…Pindi mwanaume anapokuwa akicontrol movement, ana nafasi kubwa ya kuzuia kutokana na uume wake kuwa sehemu mbaya na hali inayopelekea kusikia maumivu na hivyo kupunguza hatari."

MAHUSIANO:HIKI NDICHO KITU AMBACHO MWANAMKE ANAKIPENDA KULIKO VYOTE DUNIANI... BOFYA HAPA UONE






Haya hii ya leo ngoja niwatobolee siri kidogo tu kwenye upande wa mapenzi. unajua wanawake bwana tupo kama mayai ukiyaminya kidogo tu huwa yanapasuka.. sasa wengi wanaume huwa wanabaki kuropoa “wanawake hawaeleweki” WANATAKA TUWEJE? Mwanamke huwa anapenda sana kuambiwa ukweli japo wengi wanadai eti bila kudanganywa hatuingiliki, Wanawake wengi hupenda kuspend muda wake zaidi na wake mpenzi 
uliko na marafiki zake. Mwanamke hupenda mwanaume anaejali zaidi kuliko mbabaishaji “sasa wewe jifanye gogo tuone kama utapata mrembo” Jeuri ufanyiapo mwanamke dhahir huwa unamvunja moyo na hukushusha thamani yako pindi umfanyiayo yakawa yale yanayo mdharaulisha zaidi Mthamini mpenzi wako hata ukiwa na watu wengi, onyesha unajali kuwa nae karibu, hujiona wa pekee Mwanamke hupenda kusikilizwa japokuwa wanaume hujifanya vichwa na kutuona hatuna la kuongea lakini sio kweli ni fikra zenu tu. Msikilize mpenzi wako uone kama na wewe
 
hatokusikiliza Mwanamke huthamini sana msg za mpenzi wake kuliko simu apigiwayo na mwenza wake, maana kuona faraja zaidi pindi asomapo msg hizo zaidi ya kupoteza muda kusubiri apigiwe au akupigie. Msifie mkeo ama mchumba wako pindi apendezapo na kumpa faraja pindi aumizwapo. Msikilize mchumba wako na usitumie lugha ya ukali akuombapo ushauri bali jaribu kuchunguza zaidi nini atakacho kwako. Kila lililo dogo usilikuze bali lipe nafasi yake katika kutoa kipingamizi ama makubaliano.lasivyo utasababisha kutokujiamini.
 
Onyesha unajali Mkumbuke kila wakati hata mara 2 kwa siku Punguza jeuri na kauli chafu ukifananya kati ya hayo hutopata misukosuko mingi na kumbuka kujishusha endapo ufanyapo kosa na acha kutumia mabavu zaidi kuliko upole. haya jamani ni hayo tu labda utaona umuhimu wa mwenza wako zaidi ya kuliko kutoa lawama juu yake, wapendwa kama hamtojali kama kuna ambayo wakina kaka nao wanataka kutoa kero zao uwanja wenu.

HIZI NDIO NJIA ZA SIRI WANAZOTUMIA WABONGO KUKUZA MAKALIO YAO...SOMA HAPA

 
When a skinny girl or woman passes by, men don’t even bother to look or show interest. But as soon as they see a chubby woman, with a round buttocks and full breasts, they turn around in a flash,thats one of the unwritten philosphies in these streets that A woman, a real woman, must have curves,there are women who like it when men praise their behind actually most.

In Kenya we've heard of crude methods by ladies desperately looking for the curvy figure including consumption of chicken feeds amongst other methods.

The craze for bigger behinds has caught up with ladies across board including DRC


They are now using rectal suppository diets believed by some as one surefire way to beef up the booty, with Maggi stock cubes being one common ingredient…

Pumping themselves with vitamins, ginger juice and stock cubes. Yet this popular diet in Kinshasa is not being swallowed whole. Rectal suppository diets are dangerous, say doctors.

The power of stock cubes
One bum-enhancing mixture includes C4 syrup and tablets, Maggi stock cubes and Tangawisi, a raw ginger juice. “And it works!” says Sophie who lives in Kinshasa.

As for Micheline’s regimen: “I add 50 vitamin tablets into the vitamin syrup and then take it before going to bed. I take the mixture once a week, sometimes throughout the week.”

Meanwhile,another lady Henriette, prefers Dongo-Dongo Gombo, a soup made from a hibiscus-like flower. “I have noticed that C4 makes me very tired and drowsy,Gombo and stock cubes are the way to go for a nice-looking behind.”

KINA KAKA ACHENI UJINGA, HAKUNA MWANAMKE ASIYETAKA KUHONGWA! SHAURI LAKO

Wakaka acheni ujinga, ukitaka dem wa peke yako basi jua kugharamia. Nakwambia wanawake asilimia kubwa hukumbuka fadhila za mtu anayemgharamikia kuliko wanaume wa ai lavii yuu maneno.

Usidanganyike hakuna mwanamke asiyependa kuhongwa, kuna wanawake natural hawawezi kuomba,ila anakua anataka ujiongeze, sasa kama wewe ni wale ambao akikwambia "baby kifurushi kimekata" unajibu "basi mumy pls ukiweka nicheki" umekwishaaaa!!!

Anakueleza shida zake unasema "mpenz vumilia nakuombea upate kazi" kaka umeishaaa kabisaaaa aiseeee!!! Huna chako!!!
Ujue ulivyokata simu umefatiwa na bonge la msonyoooo ka sio tusi la nguoni basi la mwilini. Yani wewe kama ni wale wa baby mwezi huu mambo yangu hayako sawa, nakuapia unagongewa weeeeeeeeee . . . . mpaka ujute!!
Unamuona dem wako kasuka, kapendeza na hana kazi, we umekazana tu "beibi umependeza" . . . . . . Yaani wee boya ujue!! Mume mwenzio kaweka nguvu, so anapokua anatoa calendar za kukuona tulizana, service inakua kwa anayehudumia.
Hakuna dem wa siku hizi anayetaka kuambiwa nakupenda jumapili mpaka jumapili we mhonge tu uone heshima.
____________
Ujumbe wa Leo:
Old friends pass away, new friends appear. It is just like the days. An old day passes, a new day arrives. The important thing is to make it meaningful: a meaningful friend - or a meaningful day.

NI MIEZI SITA SASA TANGU TUACHANE LAKINI BADO AKINIONA NA MWANAUME MWINGINE ANAKASIRIKA YANI KAMA ANAWIVU...!!

Toka nimeachana na huyu mwanaume ni miezi sita sasa lakini bado ana wivu uliopitiliza, kila akisikia niko na mwanume anampigia simu na kumtukana sijui hata namba anapata wapi, yani ananikera kweli wengine unakuta ni marafiki zangu tu ila anawatukana na hata kuwatishia maisha, sijui hata nimfanyaje..?? Naombeni ushauri wadau..!!https://www.facebook.com/theclicktz 

ANATAKA AWE NYUMBA NDOGO YANGU...USHAURI JAMANI NIFANYEJE...??

Wapendwa habari za majukumu ya kulijenga taifa.
Nikiwa katika pitapita zangu miezi mitatu iliyopita; nikikutana na mwanadada mrembo; nikawa nimekaa naye meza moja. Katika kuongea ongea akanipa historia ya maisha yake. Kikubwa ni kwamba aliolewa lakini tabia ya mume wake kumpa kichapo mara kwa mara aliamua kuomba uamisho kazini na kuhama toka kwenye mji anapoishi mume wake.


Kwa kuwa tuliendelea kuwa na mawasiliano; siku moja akanikaribisha nyumbani kwake; nikakuta amejiandaa kisawasawa; mambo ya kikubwa yakaendelea, jioni nikatoka naye out; haikuishia hapo tukaendelea kama wapenzi. Majuzi ananambia eti anataka anizalie mtoto na anitambulishe hadi kwa ndugu zake.
Nashindwa kumpa ok kwa kuwa mi tayari nina mke; na mume wake bado anambembeleza warudiane. Yeye anadai awezi kurudiana na huyo mwanaume kwa sababu ni mkorofi na anamdunda mara kwa mara; mtoto wa watu ana makovu hadi namuonea huruma. Naomba ushauri wako we unayesoma hii habari.

NYIE OENI TU : ILA UKIOA MWANAMKE WA AINA HII UTAKIONA CHA MOTO...!!

  
SUALA la kuoa lipo tu licha ya kwamba wapo wanaochelewa kuingia kwenye maisha hayo wakihisi inaweza kusitisha furaha ya maisha yao. Nasema hivyo kwa kuwa najua wapo wanaoamini kuoa ama kuolewa ni kujiingiza kwenye matatizo. 

Dhana hiyo haina mashiko kiviile, asikuambie mtu unapoingia kwenye ndoa na mtu anayekupenda na wewe unampenda kwa dhati, karaha hakuna licha ya kwamba kugombana kwa hapa na pale hakuwezi kukosekana.

Hata hivyo, nikiri tu kwamba, zipo ndoa ambazo ni ndoano. Yaani unakuta mtu kaingia kwenye ndoa na mtu ambaye hakuwa amedhamiria, matokeo yake kadiri siku zinavyokwenda anahisi ameingia chaka na anaishia kuomba ndoa isiwepo.

Leo nataka kuwazungumzia wanawake ambao ni majanga na ukijichanganya ukaingia nao kwenye maisha ya ndoa, utakiona cha mtemakuni.

10. Asiyeridhika na penzi unalompa
Wapo wanawake ambao wewe unaweza kujitahidi kumpatia mapenzi kadiri unavyoweza lakini yeye hatosheki. Anakuchukulia wewe ni dhaifu sana na wakati mwingine kuhisi yupo mwingine anayeweza kumpa zaidi ya kile unachompa, huyu ni tatizo.

9. Wivu kupindukia
Hatukatai, wivu ni muhimu sana kwenye suala la mapenzi lakini kuna ule wivu uliopindukia kiasi cha kuwa kero. Walio kwenye ndoa wananielewa namaanisha nini.

Kwa kifupi mtu mwenye mapenzi ya dhati na mwenziye lazima awe na wivu lakini ukiwa na ule wa kupinduki ni tatizo linaloweza kuitibua ndoa.

8. Anaona unamsaliti kila mara
Huku kunatokana na kutokujiamini tu. Ukioa mwanamke ambaye kila wakati unapokuwa mbali naye anahisi unamsaliti, huyo hakuamini na kamwe hamuwezi kudumu. Mara kadhaa mtakuwa mkigombana akihisi una mwingine kumbe hakuna ukweli katika hilo.

7. Anahisi amekosea kuwa na wewe
Wapo wanawake ambao wanapoingia kwenye ndoa baada ya muda wanahisi wamekosea kuolewa na mwanaume huyo. Unakuta mke wa mtu anahisi fulani ambaye zamani alikuwa kwenye uhusiano naye angekuwa sahihi zaidi baada ya kuona upungufu fulani kwa huyo aliyemuoa.

6. Yuko kimasilahi zaidi
Kuna wanawake ambao ukiwaoa wanakuwa na furaha na wewe ukiwa unazo tu, ukiishiwa wanaanza kununa na kuleta visirani vya hapa na pale. Hawa ni tatizo, mwanamke wa kweli ni yule anayeridhika kuwa na wewe kwenye shida na raha.

5.Yuko tayari kuachana na wewe
Hivi hujawahi kumsikia mke wa mtu akimwambia mumewe; ‘Kama vipi tuachane, kwanza kwetu sijafukuzwa na nilikuwa nakula, nalala, navaa.” Mwanamke anayeweza kumtamkia mume wake maneno haya, huyo si mke na kamwe hawezi kukufanya uwe na furaha.

4. Hapendi ndugu zako
Waswahili wanasema ukipenda boga, penda na ua lake. Kama utatokea kuoa mwanamke ambaye anakupenda wewe tu lakini akija ndugu, rafiki au mtu mwingine wa karibu yako anabadilika, huyo ana matatizo kwani atakufanya utengwe na jamii yako.

3. Anajali mafanikio binafsi
Siku zote wawili waliotokea kupendana wakioana wanakuwa mwili mmoja hivyo lazima watakuwa wanawaza na kufanya maamuzi pamoja.

Ogopa sana mwanamke anayependa kutumia kipato chake kufanya mambo binafsi tena kwa siri. Kwa mfano kusaidia kwao, kujenga nyumba kwao, kuanzisha miradi yake bila kukushirikisha.

2. Eti akizaa utamzeesha
Hili kwa wale wanaopenda kuoa masistaduu. Wapo ambao wakitajiwa suala la kuzaa mara baada ya kuingia kwenye ndoa wanagoma wakidai eti watazeeshwa hivyo waachwe kwanza wale ujana. Wakati huo unaweza kukuta mwanaume anataka mtoto ili apate ile heshima, mke anagoma kwa sababu hiyo isiyo na msingi, hili ni tatizo.

1. Anataka awe na sauti
Mwanaume siku zote atabaki kuwa kiongozi wa familia lakini wapo baadhi ya wanawake hawataki kukubaliana katika hilo.

Wengi wanalazimisha usawa na wengine wakitaka wao ndiyo wawe na sauti kuliko waume zao. Hili nalo ni janga! Yaani mkeo anataka kila linalofanyika yeye awe mtu wa kutoa maamuzi! Mh!

Tukutane wiki ijayo kwa mada nyingine nzuri zaidi ila kama una lolole na ungependa ushauri, usisite kuwasiliana nami kwa anuani hiyo hapo juu.

NI NANI MTAANI KWENU ANAUMWA KANSA KWA KUMYONYA MPENZI WAKE UKE?? KAMA SIO UNAFIKI TU!


Watu wamekuwa wakisambaza Picha za jamaa sijui aling'atwa na Mbwa mdomoni au na Nyuki then wanatuambia kuwa jamaa alikuwa mnyonya papuchi ndio amepata Kansa, yote hiyo ni wivu na chuki (ashki majinuni).

Ukiangalia wanaosambaza hizo Picha wapo makundi mawili:

I. Wale wanaume wasiojua kunyonya papuchi.

II. Wanawake wachafu wasiopenda wanaume wawaone papuchi zao.

Mwanaume anayejua kunyonya papuchi au mwanamke msafi hawezi sambaza huo upuuzi, wewe toka uzaliwe umewahi kuona wapi mtaani kwenu au Bongo nzima eti mtu anaumwa Kansa ya Koo sababu ya kunyonya papuchi?
Inamaana bongo hamna wanyonya papuchi mpaka mtuletee picha za wazungu?

Tutaendelea kunyonya papuchi labda tukatwe Mdomo na ulimi.#Team_Chumvini_for_life_baby

FAHAMU MAMBO MUHIMU KUMI UNAYOPASWA KUMWAMBIA MPENZI WAKO KILA SIKU...SOMA HAPA KUJUA

Kutengeneza uhusiano wenye nguvu ni moja ya mambo yenye changamoto kubwa. Japo hakuna maelekezo maalum, kuna mambo machache na rahisi ambayo unaweza kumwambia mpenzi wako yakaujenga zaidi. Weka desturi ya kusema mambo haya kwa mpenzi wako na muda mfupi tu mtakuwa couple itakayowapa wivu marafiki zetu.

1. Nakupenda: Ni kitu rahisi na cha wazi cha kumwambia mpenzi wako. Hakikisha tu kuwa unamaanisha. Jaribu kulisema neno hilo pindi mpenzi wako anapokuchekesha au pale anapofanya kitu kinachokukumbusha kwanini mko pamoja.

2. Nilikuwa nakuwaza: Ni muhimu kumjulisha mpenzi wako kuwa unamuwaza hata kama hamko sehemu moja.Ukiona kitu kizuri au cha kuchekesha katika siku yako ambacho kinakufanya umkumbuke, mjulishe.

3. Siku yako ilikuaje?: Muulize masuala ambayo mpenzi wako anakutana nayo katika shughuli za kila siku. Muulize kuhusu huyo mfanyakazi mwenzie anayemkera au kazi kubwa waliyokuwa wakifanya. Kumpa nafasi mpenzi wako kushare sehemu zingine za maisha yake kutasaidia kuunganisha dots kati ya muda mnaokuwa pamoja.

4. Unga mkono maamuzi mazuri ya mpenzi wako: Mpe moyo mpenzi wako kwa kumjulisha kuwa unaunga mkono maamuzi yake. Unaweza ukaenda mbali zaidi kwa kujaribu kumsaidia afanikishe malengo aliyojiwekea.

Maisha yamejaa vikwazo vingi, na ile hisia kuwa una mtu mwingineupande wako zinaweza kukusaidia kuvivuka. Msiwe couple tu, kuweni timu. Kumkumbusha mpenzi wako kuwa upo nyuma yake kutaimarisha uhusiano wenu.

5. Mwambie mpenzi wako kuwa Umependeza: Kama umekuwa kwenye uhusiano kwa muda mrefu, ni rahisi kujisahau katika mengi. Ni muhimu kumkumbusha mpenzi wako kuwa anakuvutia. Kumjulisha kuwa ‘gauni hilo limekupendeza sana’ kutamfanya ajisikie vizuri na kukumbusha kwanini ulimchagua yeye. 

6. Samahani ni neno zuri kwa mpenzi wako: Kila mtu hukosea wakati fulani. Wakati mwingine hujikuta tukiongea maneno kwa hasira na baadaye kugundua kuwa hatukuwa sahihi. Ubishi hauna nafasi kwenye uhusiano wenye furaha, hivyo omba msamaha unapofanya kosa. Omba msamaha kwa kukasirika. Omba msamaha kwa kuumiza hisia za mpenzi wako. Omba msamaha hata kwa vitu ambavyo sio kosa lako.

7. Hakuna kama wewe: Mpenzi wako anatakiwa kuwa rafiki yako. Kama hautaki kutembea naye, basi hamkupaswa kuwa kwenye uhusiano. Mfanye mpenzi wako ajue kuwa yeye ni bora na hakuna kama yeye.


8. Napenda mawazo yako Picha: StudioMwambie mpenzi wako kuwa unapenda mawazo yake. Mjulishe kuwa unaona anaakili, mcheshi, anajua kupenda na ana kipaji.

9. NakuheshimuKama ulivyo uhusiano wa marafiki, heshima ni kitu muhimu kwako na mpenzi wako. Mpe nafasi ya kukushauri au kukupa mawazo kwenye mambo yanayokutatiza. Mtu anapohisi anaheshimiwa, hujisikia pia furaha na salama, vitu ambavyo ni muhimu kwenye uhusiano wowote mzuri.

10. Napingana na hilo: Sehemu moja wapo ya kumheshimu mpenzi wako ni kumjulisha pale usipokubaliana naye. Hakuna mtu anapenda kuoa mtu anayekubaliana na kila kitu na hakuna mwanamke anayetakakuzaa watoto na mwanaume asiye na msimamo. Mnaweza kuwa timu, lakini nguvu ya timu yoyote ipo kwenye mawazo na matendo ya kila mmoja.

Kuwa na maoni yako na yaseme kwa mtindo wa heshima. Kumpa mpenzi wakomtazamo tofauti kunaweza kumsaidia kupata suluhisho kwa tatizo ambalo hakuwa ameliwaza.11. Usiku mwemaTunaishi kwenye wakati ambapo mawasiliano ni rahisi mno.

Kwa kubonyeza tu kitufe tunaweza kutuma ujumbe kuvuka bahari, hivyo hakuna kisingizio cha kushindwa kusema ‘usiku’ mwema. Haimjulishi mpenzi wako tu kuwa unataka kulala, bali pia inamjulisha kuwa unamfikiria. Hata kama hamjaongea siku nzima na hasa kama mmejibizana.
Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top