Habari Kali
Loading...

KWA NINI WANAWAKE WENGI WANAKOSA HAMU YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA?-4

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > Tumekuwa tukiangalia tatizo la wanawake wengi kushindwa kushiriki tendo la ndoa. Tumeangalia jinsi tatizo hili linavyoisumbua jamii yetu pia tumejua kuwa mwanamke kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa si jambo la kawaida ni tatizo linaloweza kutibika.
Zifuatazo ni njia za kuondoa tatizo hilo. Wengi wanatarajia kuambiwa wameze dawa fulani ili kuondokana na tatizo hilo. Ukweli ni kwamba ili mtu kurejea katika hali ya kawaida. Kama una tatizo hilo ni vema ukawaona matabibu kwa ushauri  na uchunguzi ili kujua chanzo cha tatizo na upate matibabu. Ni vema kwa wanawake wenye tatizo hilo washirikiane na wanaume zao ili kuliondoa.
Katika nchi zilizoendelea, wataalam wamekuwa wakigundua dawa na vifaa tiba vipya vya kuondoa tatizo hili na vingi bado ni vya bei kubwa au vinapatikana kwa shida.
Vipo ambavyo vimeonyesha mafanikio makubwa, mifano ya vitu hivyo ni Suction Vibrators, Desire Creams na Erection Drugs. Habari njema ni kwamba tatizo hili linaweza kutatuliwa kwa mimea tiba na matunda tiba ya kawaida ambayo ipo katika mazingira yetu yanayotuzunguka.
Utafiti umeonyesha kuwa tunachokula ndicho kinachotujenga na kutufanya tuwe watu wa aina gani. Vyakula tunavyokula vina mchango mkubwa katika kujenga au kubomoa afya zetu hivyo ni muhimu kuwa makini katika kuamua tule nini na tunywe nini.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya chakula tunachokula na afya ya viungo vya uzazi. Baadhi ya chakula na virutubisho vimehusishwa na hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Virutubisho ndani ya chakula ambavyo vinasaidia hali hiyo ni antioxidants, vitamin C, vitamin E, potassium na zinc.
Kirutubisho cha zinc kinaongeza mbegu kwa mwanaume (sperm count) hivyo humsaidia kuongeza hamu ya kufanya tendo la ndoa. Chakula chochote chenye virutubisho hivi vikiliwa humfanya mlaji asikie hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Baadhi ya vyakula kula na matunda tiba hayo ni kama vile:
Tikitimaji-Hili linachukuliwa kuwa ndilo tunda bora katika kuboresha afya ya mapenzi. Tunda hili lina asilimia 92 ya maji na asilimia 8 zinazobakia zina Phytonutrient Citrulline ambayo hugeuzwa kuwa Arginine. Arginine ni Amino Acid ambayo hufanya mishipa ya damu kuwa kwenye hali ya ubora wake na kusaidia damu kupita vizuri zaidi.
Tikitimaji husaidia damu ifike kwa kiwango kizuri zaidi kwenye sehemu ambazo hutakiwa kutanuka wakati mtu akipata hisia za kufanya tendo la ndoa ambazo ni viungo vya ndani ya kisimi cha mwanamke na ndani ya uume wa mwanaume.
Parachichi-Tunda hili lina vitamini E ambayo ni antioxidant. Ndani ya tunda hili kuna potassium na vitamini B6 ambavyo huboresha afya ya moyo na kusaidia mzunguko wa damu.Strawberries–Tunda hili lina antioxidants kwa kusaidia afya ya moyo na mishipa ya damu (arteri) na vitamin C ambayo huongeza kiwango cha mbegu kwa mwanaume.
Kuna mchanganyiko wa matunda ukisagwa pamoja na kunywewa umeonyesha kuongeza hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Kwa ziada unaweza kutumia karafuu, mayai na tangawizi pia.
Nikushukuru msomaji kwa kufuatilia makala hizi, ushauri ni kwamba unapotumia matunda tiba haya bila mafanikio tembelea Sigwa Herbal Clinic kwa uchunguzi na matibabu ya uhakika.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top