Stori: Shakoor Jongo na Imelda MtemaYAMETIMIA! Kundi lililojipatia umaarufu mkubwa la wasanii na waigizaji la Bongo Movie Unity, limeanza kumeguka baada ya Katibu wake, William Mtitu kujiuzulu nafasi hiyo, akimtuhumu kiongozi wao kuwatumia kisiasa.
“Nimechoka kutumiwa kisiasa bila ridhaa
yangu, kisingizio Bongo muvi, hiyo kitu hakuna kama kuna mtu au chama
kinahitaji kututumia wasanii au kuitumia Bongo muvi basi unatakiwa uwazi
na si kumtumia mtu mmoja kwa manufaa yake mwenyewe,” alisema Mtitu
alipoulizwa kulikoni.
Inadaiwa kuwa chombo hicho, kinatumiwa na mmoja wa watu wanaotajwa
kuwania kuteuliwa na CCM kuwania Urais katika uchaguzi mkuu mwakani na
kwamba amekuwa akitoa fedha nyingi, ambazo zinadaiwa kuishia hewani bila
kueleweka zinavyotumika.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >



