BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Miaka saba iliyopita nikikua katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja ambaye alikua bikra ilikua kama ifuatavyo.
Binti
alikua wa kwanza kunitongoza pindi nilipoenda kwao sababu kaka yake
alikua rafiki yangu baada ya kunitongoza nilimpotezea lakini aliendelea
kunifuatilia mpaka nikamkumkubalia tukaanza mahusiano kiukweli hapo
mwanzo alikua hana upinzani sema sikua na gheto na nikipanga siku fulani
niwe nae may kwa kwenda gheto kwa marafiki tunapishana labda hana mda
nk
Kiukweli
alionesha kunipenda yaani kuliliwa ilikua kawaida nikisimama na
msichana hata kama wa rafiki yangu atakuja mbio na kusimama pembeni
nikapata gheto kwa rafiki yangu tatizo likawa hapo geto jmosi na jpili
wenye nyumba wanakuepo hivyo ni vigumu kusex
na siku zote anakua shule sasa juhudi zangu zikawa kumbebeleza atege shule tukategue bikra
mambo yote haya yalienda kama miezi 8 hiv
sasa
kuna siku akamfuata rafiki yangu na kumwambia anaomba amfundishe maana
anafundisha vizuri ni rafiki tu si yule mwenye geto sasa kila rafiki
akipita kwao dem alikua anamshobokea mara mluzi wa busu nk
Rafiki
bila hiana akaja kunieleza kua dem shobo nikamwambia ngoja nikamsikilize
then ntakupa jibu juu ya uamuzi wangu nikamfuata dem nikamueleza nini
kinaendelea akasema nothing nikamwambia dont dare to lie 2 me.
Aliendea
hivyo kuna siku alikua amekaa na rafiki zake mi nikiwa na rafiki yangu
tukapita mara akakimbia mbio baadae nilipomuuliza hakuna jibu la maana
so nikamwambia ok wewe na rafiki yangu endeleni usinifatilie wala
tusijuane akajibu sawa
Wakawa na mahusiano na rafiki yangu rafiki
alikua ananiambia kila ki2 walienda hivyo kwa kama mwezi lakini dem
nilimpenda sana na nilimpa special love hakuwai kua mpweke kama ikipita
siku hajaniona atanipigia simu huku analalamika lakini rafiki alishindwa
kufanya hivyo
dem akaanza kutanga anga kutafuta bwana kwani aliamini
atapata tu bwana atakaempenda kama mimi ila kurudi kwangu alikua
anaogopa au anahisi mimi nitamrudia kweli nilikua nafanya hivyo zamani
akawa anashanga wiki mwezi miezi kimya.
Katika
kutanga tanga kulikua na mjomba wake aliekua anakaa zamani huyu jamaa
yupo tanapa na alishawahi kua bosi mkubwa tu pale maliasiri wizarani
hapa karume kwa mbele hata kwenye harusi yake nyama zote zilikua ni za
msituni
Kifupi jamaa ana hela nzuri na gari zaidi ya nne nyumba na nk na ni malaya sana na mwmepesi kuhonga hapo.
Binti
akawa analeta shobo wakawa kwenye mahusiano na kwa kua walikua wanalala
nyumba moja haikua kazi kumtoa bikra akamtoa bikra akawa mpenzi wake
kisha akaampa mimba na kufanikiwa kuitoa tangu alipoachana na hana m2
rasmi zaidi ya wale wa kupiga.
Akaanza
kurudisha majeshi baada ya kuona future haioni na bikra hakuna
alinimbembeleza sana nikamkatalia ila nikasema ngoja nipige si
nikamkubalia kwa lengo la kupiga na kusepa loh alichosema anashukuru
sana kwani bora nimerudi ninaemjulia akaja mazima simu kila saa
usipopokea simu analia mmh nikiona isiwe tabu nikapotea ila hua anarudi
na kuniita mpenzi direct kila mda but now kachuja sio mzuri kama mwanzo
kawa kituko loh ilifika kipindi alikua ananiambia upo wapi nikufuate
nikupe penzi wakati mwanzo alikua hataki mmh kuchuja kubaya.
Mwisho
sijutii kabisa kwa uamuzi wa kuachana nae kweli mimi naona mbali na
inteligence man kwani alivyoanza shobo kwa wa2 moja kwa moja nikajua
kinachofuata mimba kama akiitoa na kupata matatizo mimi huenda nikausika
au hata kubambikiwa na hicho ndicho kilichotokea hadi ndugu zake
walijua kua ana mimba but waliogopa kumwambia shangazi yao hapo wakakaa
kimya kusubuli la kutokea hv sasa yupo mtwara anasoma tpsc na ni
anajiuza kwa vibabu ili apate pesa
hii ni true story na sijutii kujitoa katika huu msala..
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Thursday, 21 August 2014