
eshi la polisi Mbeya limemkamata Askari polisi mwanamke wa Dar es salaam kwa tuhuma za kumuiba mtoto mchanga wa siku ambae aliibwa toka April 6 2014 kwa kushirikiana na baba mzazi.
Ahmed Msangi ambae ni kamanda wa polisi Mbeya amesema ‘tulimkamata huyu Mama na mtoto na hivi sasa Mwanamke huyu yuko mahabusu pamoja na baba mtu, tulichofanya niliagiza OCD wa Kyela amlete mama halisi wa mtoto ili aungane na mwanae na vilevile kukamilisha upelelezi, Mwanamke huyu anaitwa Prisca askari Polisi Tabata mwenye namba WP5367′
Kamanda wa polisi amesema Baba wa mtoto na askari huyo hawana uhusiano wa damu bali wa kibiashara hivyo wanaendelea na uchunguzi zaidi.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >