
kwa mujibu wa watu wa karibu na mastar hao Wema hakuwa na jeuri ya kutoa fedha hizo ndio maana familia ya mrembo huyo ilionyesha mshtuko mkubwa kwa binti yao kutoa pesa za bure kwa mtu baki kama kajala.
Habari zaidi zimesema kwamba kabla wema hajatoa pesa hizo alimpigia simu mfadhili huyo na kumueleza kilichokuwa kinaendelea mahakamani hapo ambapo aliruhusu pesa kutolewa.
kama pesa hiyo ingetoka mfukoni mwa wema basi familia yake akiwemo mamake asingeweza kumwacha bila kumuhoji bint yake.lakini mama wema alieleweshwa hali ilivyo na ndio maana akatulia.pesa ilitolewa na kigogo huyo ambaye sasa anatoka na kajala.
Aidha mtoa habari huyo alidai kwamba kabla ya wema kumsaidia Kajala mil.13 hakuwahi kutoa msaada wowote wa kifedha zaidi ya kula ubwabwa na watoto yatima.
Sani iliwahi kumpa taarifa wema kwamba kulikuwa na mama anayehitaji msaada wa laki moja kutokana na matatizo aliyokuwa nayo alijibu kwamba yeye sio serikali na kumsaidia Kajala kusiwafanye watu wamuone kama taasisi ya kutoa misaada.
Taarifa zaidi zimedai kwamba kutokana na tabia za mastaa zilivyo isingekuwa rahisi kwa Wema kutoa hata senti tano yake!
Naamini kwa hali ya mastaa ilivyo Wema kama wema asingeweza kutoa hata sh. Mia ili kumtoa kajala.Nyuma ya kesi ya kajala kulikuwa na huyo kigogo ambaye hivi sasa pesa zake zote anammwagia kajala.mambo yamegeuka ndivyo sivyo!” alisema.
Vyanzo vyetu hivyo vilitoa mfano wa msanii mwingine jack wolper ambaye alimpa msaada wa mil.10 aliyekuwa nyota wa filam Juma kilowoko au Sajuki kwa ajili ya matibabu na kudai hazikuwa zake , Wolper hakuwa na uwezo huo pesa zilikuwa za Dallas ambaye alimtumia Wolper kama kama bahsha kuufikisha mchango wake. Kiliongea chanzo hicho.
Mwandishi ni Christopher Lissa.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >