Mzee Edward Lowassa amesema anajiandaa kwa uchaguzi 2020, mafuriko yaikumba Mwanza huku mtoto mmoja akifariki…. Tundu Lissu asema viatu vya nafasi ya Dk. Slaa ni vikubwa CHADEMA, CUF wasema wanaheshimu mazungumzo ndio maana wako kimya kuhusu ishu ya Zanzibar.
Jeshi la Polisi latoa
mbinu tano za kuepukana na wizi watu wanapotoka kuchukua fedha Benki,
Serikali imesema itawanyang’anya viwanda na mashamba kwa walioshindwa
kuviendeleza.
Askari Polisi mmoja na watu wengine watatu wafikishwa Mahakamani Dar kwa tuhuma za wizi wa magari, wananchi wa Manyara wampiga
Askari na kumpora bunduki kwenye mnada, elimu ya bure ni kaa la moto
Dar, walimu wakosekana na vifaa vyaibiwa.. Serikali yaagiza watuhumiwa
wa kesi za kuozeshwa mtoto wa miaka 13 wachukuliwe hatua.
Pingamizi la Serikali kupinga kesi ya David Kafulila latupiliwa mbali Mahakamani Tabora.
Stori zote ziko kwenye uchambuzi wa sauti pia kutoka Powerbreakfast Clouds FM.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >