Baada ya kusimama kwa Ligi Kuu soka Tanzania
bara kwa zaidi ya siku 10, weekend ya January 16 na 17 inaendelea kama
kawaida kwa michezo nane kupigwa, lakini hii sio michezo pekee
itakayopigwa weekend ya January 16 na 17. Ligi Kuu Hispania na Uingereza zitaendelea kama kawaida kwa michezo kadhaa kupigwa. Hii ni ratiba mtu wangu ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara, Uingereza na Hispania kwa mechi zitakazopigwa January 16 na 17.
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Tanzania bara zitakazochezwa Jumamosi ya January 16 na 17
Hii ni ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza kwa saa za Afrika Mashariki January 16
- Tottenham Vs Sunderland Saa 15:45
- Bournemouth Vs Norwich Saa 18:00
- Chelsea Vs Everton Saa 18:00
- Man City Vs Crystal Palace Saa 18:00
- Newcastle Vs West Ham Saa 18:00
- Southampton Vs West Brom Saa 18:00
- Aston Villa Vs Leicester Saa 20:30
- Liverpool Vs Man Utd Saa 17:05
- Stoke Vs Arsenal Saa 19:15
Ratiba ya Ligi Kuu Hispania kwa saa za Afrika Mashariki
- Sevilla Vs Málaga Saa 18:00
- Celta de Vigo Vs Levante Saa 20:15
- Villarreal Vs Real Betis Saa 22:30
- Real Sociedad Vs Deportivo de La Coruña Saa 00:05
- Valencia Vs Rayo Vallecano Saa 14:00
- Real Madrid Vs Sporting de Gijón Saa 18:00
- Getafe Vs Espanyol Saa 20:15
- Las Palmas Vs Atl Madrid Saa 20:15
- Barcelona Vs Ath Bilbao Saa 22:30
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >