Habari Kali
Loading...

Duniani Christmas sio kila mtu anasherehekea, hawa hapa watakuwa kazini kama kawaida Uingereza..

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
December 25 huwa ni siku ambayo wakristo wengi duniani wanaungana kwa pamoja kusherehekea sikukuu ya Christmas, japo sikukuu inawahusu wakristo lakini huwa ni siku ya mapumziko kwa ujumla kwa watu wote bila kujali dini zao.
CHRISTMASS
Sasa nimekutana na hii stori kutoka Uingereza, labda nikufahamishe tu kwamba kama ikitokea December 25 2015 utakuwa na jukumu au ratiba ya kazi usisononeke kwa sababu kuna watu kama 900,000 hivi Uingereza nao watakuwa kazini kama kawaida.
Katika wafanyakazi hao, wapo  168,000 ambao ni watoaji wa huduma za afya na matibabu kama madaktari, manesi pamoja na wauguzi ambao wanatakiwa kuwa kazini kushughulika na majukumu yao ya kila siku.
Pia kwenye kundi la wafanyakazi hao, wapo pia Askari Polisi 22,000 pamoja na walinzi 28,000 nao watakuwa kazini pia kuhakikisha usalama wa siku nzima… pia wapo wapishi 42,000 na wahudumu 28,000 wa bar ambao nao watakuwa na kibarua kuhakikisha wanahudumia kwenye maeneo yao ya kazi.
Kwenye idadi hiyo wapo pia watu 20,000 ambao ni watumishi kwenye nyumba za ibada, nao watakuwa kwenye majukumu yao siku hiyo… kwa hiyo kama na wewe uko kwenye majukumu siku hiyo usisononeke, hii ni ripoti kutoka Uingereza pia.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top