Habari Kali
Loading...

Muuguzi alicheki njia ya kurahisisha kazi yake, hiki alichoamua ni sawa kweli?

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
SindanoZamani kulikuwa na misemo ambayo ilikuwa ikitumiwa sana, utasikia kazi f’lani ni wito.. ilikuwa kawaida yani, ukikutana na Mwalimu utaambiwa ualimu ni wito.. Daktari nae utasikia udaktari ni wito.. siku hizi sio maneno ambayo yanasikika sana.
unit
Nimekusogezea hii story toka Jamhuri ya Czech, muuguzi mmoja kafikishwa Mahakamani na kuhukumiwa kifungo cha maisha.. kesi iliyofanywa ashitakiwe imenishtua kiukweli.
Unajua ikitokea mtu unaumwa au haujisikii vizuri unaenda zako Hospitali ili kucheki kama una tatizo ili utibiwe.. lakini kitendo cha huyu muuguzi kinaweza kukushtua na wewe pia, yeye kaamua kuyakatisha maisha ya wagonjwa, kisa alikuwa ameelemewa na kazi kwa hiyo akaona azidishe potassium kwa wagonjwa ili kupunguza mzigo wa kazi.
Vera Maresova ambaye umri wake ni miaka 50 aliyekuwa akifanya kazi katika hospitali moja iliyoko Rumburk ambapo amefanya kazi kwa miaka minne aliamua kuwachoma sindano zenye Potassium wagonjwa ambao ni wanawake watano na mwanaume mmoja kwa lengo la kuwaua.
Yani eti wagonjwa wanaohitaji huduma yake walikuwa wengi, akaamua kuwapunguza ili wabaki wachache aweze kuwahudumia.
Ripoti ya Uchunguzi wa Polisi inaonesha Maresova aliwachoma sindano zenye sumu hiyo wagonjwa hao kwa nyakati tofauti kati ya mwaka 2010 na 2014, kesi imeisha na kahukumiwa kifungo cha maisha jela.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top