Habari Kali
Loading...

"Mimba My Foot"... Mashabiki wa Zari (Mpenzi wa Diamond ) Wamvaa Wema Sepetu baada ya kukejeli Mimba Yake

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Wema Sepetu anahisi ujauzito wa Zari The Boss Lady ni geresha tu, hakuna lolote!

Hii ni kwa mujibu wa picha inayoonekana kuwa iliwekwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Miss Tanzania huyo wa mwaka 2006 na ex wa Diamond Platnumz.
 
Picha hiyo haipo tena lakini Zari alifanikiwa kuipata na kuiweka kwenye ukurasa wake  wa  pili (zarithebosslady_) kuelezea alivyosikitishwa na kauli ya Wema kwenye picha yake (Zari) isemayo ‘mimba my foot’. 
 
Kwa mujibu wa urbandictionary.com msemo ‘my foot’ humaanisha: An exclamation that means that one believes the previous speaker’s statement to be untrue
 
Mrembo huyo wa Uganda anayetarajia kumzalia Diamond mtoto wake wa kwanza, aliipost picha hiyo na kuifuta tena baadaye na kuandika: 

"Astagafululah! May God Protect Zarimond and chibu junior #zaritlale #chibujunior #zarihassan #chibudangote"

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top