BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Yapo
Maoni na maswali tofauti kwenye vichwa vya watu wengi juu ya aina gani
hasa ya wanaume hupendwa sana na wanawake warembo na hata wale wakawaida
ambao uzuri wao kidogo umefichika.
Wapo
watu wanafikiriwanaume wenye sura nzuri ndio hupendwa zaidi,wapo baadhi
hufikiri wanaume wenye pesa ndio kila kitu,wapo wengine hudhani
mwanaume mtanashati na anayepiga pamba ndio habari ya mujini La
hasha,Hii si kweli hata kabisa.
Mapenzi
nayoyazungumzia hapa si mapenzi yale ya kuigiza,wala si yale
yakushawishiwa na kitu flani cha mpito kama vile mavazi au pesa,aku misi
zungumzii aina hiyo ya mapenzi kabsaaa! Kwani mara nyingi katika aina
hii ya mapenzi watu hutamaniana tu kwa maslahi Fulani.
Mie
nazungumzia mapenzi yatokayo moyoni,yale ambayo mwanamke haambiwi
chochote juu ya mwanaume wake,yale mapenzi ambayo katu mwanamke hataki
kuona wala kusikia mwanaume wake anateseka wakati yeye yupo na anaweza
kumsaidia. Wadada warembo na wanaojiheshimu hakika anapenda wanaume
wenyetabia zifuatazo;-
MWANAUME
MWENYE KUJIAMINI NA MWENYE KUTUMIA HEKMA YA HALI YA JUU KATIKA KUFANYA
MAAMUZI YAKE.HIKI NI KIGEZO KIKUBWA SANA AMBACHO MARANYINGI WATOTO
WAKALI NA WENYE KUJIHESHIMU HUWA WANAKITAFUTA KWASABABU KAMA HUJIAMINI
NA BUSARA NI SIFURI BASI NI RAHISI SANA KUANZA KUMTILIA WASIWASI NA
KUHISI LAZIMA UNASALITIWA KUTOKANA NA UZURI WALIOJAALIWA.
WAREMBO
HAWA HUWA HAWAPENDI KUWA NA WATU WENYE HASIRA ZA KARIBU KWANI WANAJUA
FIKA KWA UREMBO WALIO NAO NA KWA JINSI WANAVYOTAKWA NA MAELFU YA WANAUME
WANAWEZA WAKAWA WANAPIGWA KILA UCHAO KWA SABABU YA WIVU ULIOKITHIRI WA
WAUMEZAO.
*Hupenda
wanaume wenye nidhamu kwa wanawake wengine sio mtu mwenye shobo kwa
kila mwanamke kwani kufanya hivyo kunafanya wahisi sio spesho kwako
kwani hujamchukulia kama mtu pekee mwenye kustahili vitu spesho. Mrembo
mwenye kujithamini na kujiheshimu anafurahi sana pale anapoona mwanaume
wake anampa heshima na kumonesha kumjali kwa namna tofauti na mwanamke
wa kawaida ambaye si mpenzi wake.
*Mwanaume
mchapakazi na mwenye usongo na mafanikio maishani hupendwa sana na aina
hii ya wadada kwani kutokana na uzuri wao yaani mtoto mashallah kwanini
jamani athubutu kuwa na jitu ambalo halijishughulishi wala halina
mpango wa kutafuta maendeleo kwa ajili ya maisha yao badae.
Aina
hii ya wadada huwa wanaogopa kaka ambae ni muuza sura pekee ambaye si
mtafutaji hivyo kama wewe unakaa unabweteka tu na unategemea mambo
yanyooke tu kwa kweli umelamba reli andikia maumivu kwani hata dada
anayejitambua huwezi kumg’oa.*Mwanaume ambaye hakati tamaa katika
harakati zake za kila siku na hata akiwa anamfukuzia aina hii ya mdada
anakuwa anaonesha nia ya dhati ya kumhitaji.
Hivyo
kwa mwanaume yoyote anayetaka vitu vizuri lazima ujipange na sio kutaka
tu rahisi rahisi ndio maana wazungu wanamsemo wao usemao “what comes
easy goes easy” hivyo hutakiwi kulegeza mtoto wakiume.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
mapenzi
Thursday, 11 December 2014