Stori: Hamida HassanSTAA wa filamu za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema anakumbuka fadhila za marehemu Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ ndiyo maana amejitoa kwa hali na mali katika msiba wake kwani anawaonea huruma watoto wake ambao aliishi nao kama kaka yao enzi za marehemu alipokuwa na uhusiano na mdau wa Muziki wa Dansi Bongo, Fikiri Madinda.
Staa
wa filamu za Kibongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’(kulia) akijadili
jambo na 'Lwiza Mbutu' kwenye msiba wa marehemu Aisha Madinda.
Akipiga stori na mwanahabari wetu, Steve alisema kuwa wakati anaanza
kazi alipokelewa na Aisha ambaye alimpeleka kwa Fikiri Madinda na
kumtambulisha ambapo alikaa chini yao kwa muda wa mwaka mmoja.“Msiba huu kwangu ni mkubwa nitamkumbuka daima Aisha kwa mazuri yake siwezi kulipa fadhila lakini kwa msiba huu nitachangisha kwa hali na mali ili tu tumsitiri dada yetu,” alisema Steve ambaye aliendesha kampeni ya kuchangisha rambirambi kwa kushirikiana na viongozi wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’.
Marehemu Aisha aliyefariki katikati ya wiki iliyopita, alizikwa Ijumaa iliyopita nyumbani kwao Kigamboni jijini Dar.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


