Habari Kali
Loading...

SABBY AHAMA KISA KUMKIMBIA BOB JUNIOR

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Stori: Hamida Hassan na Imelda Mtema
STAA wa filamu za Kibongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’  ameamua kuhama jiji la Dar kwa nia ya kumkimbia Bob Juniour ambaye hakuthamini penzi lake.
Staa wa filamu za Kibongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ akipozi.
Akizungumza na waandishi wetu, Sabby alisema kuwa ameona Bob Junior  hamthamini ndiyo maana ameamua kukimbia na kuelekea nchini Kenya akaendelee na maisha yake kwani anao uwezo wa kukaa ‘single’ na kufanya maendeleo.
Sabby Angel akiwa na Bob Junior.
“Nimeamua kuhamia jijini Nairobi nchini Kenya ili kufanya mambo yangu ya maana, siwezi kukaa na mwanaume ambaye hana future’, Nairobi nimefungua kampuni yangu kubwa acha nifanye kazi kwanza,” alisema Sabby.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top