Stori: Mayasa MariwataSTAA wa filamu Bongo ambaye miezi michache iliyopita alifunga pingu za maisha na mwanaume mwenye asili ya Denmark, Lucy Komba amekwea pipa kuelekea nchini humo kwenda kuishi na mumewe sambamba na kumpelekea mwanaye amlee.
Akipiga stori na paparazi wetu kupitia Mtandao wa WhatsApp akiwa nchini Denmark, Lucy alisema aliamua kuondoka kimyakimya na kumfuata mumewe kwa kuwa alimisi mambo mengi kwake, pia suala la ndoa halimuhitaji aishi mbali na mumewe na kwa kuwa mwanaume huyo anampenda sana mtoto wake japo hajazaa naye ndiyo maana akaamua kuondoka naye akamlee.
“Najua mtu anaweza kuongea vyovyote, mimi nilimmisi mume wangu na mwanangu naye alitamani sana kuja kumsalimia baba yake ndiyo maana nikamleta huku amlee ila baadaye atarejea Bongo,” alisema Lucy.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


