Nay
wa Mitego msanii wa bongofleva ambae yupo kwenye list ya
watakaotumbuiza katika stage ya Serengeti Fiesta 2014 Ijumaa hii hapa 98.6 Musoma na Jumapili 87.5 Shinyanga, amethibitisha kwamba Mama yake mzazi amemuita na kutaka kujua kilichoonekana kwenye video yake mpya ya‘Mr. Nay’ aliyoifanya Kenya kinamaanisha nini.
Nay ambae kabla ya kufanikiwa kimuziki aliwahi kuwa kinyozi wakati bado akisoma sekondari, ameongea na millardayo.com na kusema mama yake mzazi amemuita nyumbani September 2 2014 kutaka kujua kinachoendelea sababu alichoona na anachoambiwa na watu kimemfanya apate wasiwasi mkubwa.
Nay ambae kabla ya kufanikiwa kimuziki aliwahi kuwa kinyozi wakati bado akisoma sekondari, ameongea na millardayo.com na kusema mama yake mzazi amemuita nyumbani September 2 2014 kutaka kujua kinachoendelea sababu alichoona na anachoambiwa na watu kimemfanya apate wasiwasi mkubwa.
Nay anasema ‘mimi
nafanya kitu kutokana na idea ambazo huwa zinatoka kichwani mwangu,
nafikiri watu wameona ni video kubwa nzuri na kali…. sijawahi kufanya
video kali kama hii ambayo kidogo inataka kuniletea shida ila sio kitu
kibaya kwangu’
‘Zile damu, na vitu vingine kama vya kishetani pamoja na namba ninayopenda kuitumia ya #966 ni
vitu vinavyofanya nipate sana msg na kuulizwa maswali, na ndivyo vitu
vimemshtua mama mpaka akaniita, watu wengine wanadhani mimi ni mwabudu
shetani ila nataka watu watambue kwamba hakuna kitu kama hicho, ni
ubunifu tu… na hii namba kuna siku nitakuja kuielezea maana yake
hapahapa kwa millardayo‘
Nay
amesema ataweka wazi kila kitu alichoambiwa na mama yake baada ya
kukutana nae kuzungumza kuhusu hii video ambayo imemuhuzunisha kama
mzazi ikiwa ni video ya kwanza kumfanya amuite na kuhoji.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >