MAJANGA! Mwanaume
anayedaiwa kuwa na swaga zisizoeleweka, anayejulikana kwa jina moja la
Talick, mkazi wa Kinondoni jijini Dar anadaiwa kumchafua Malkia wa
Mipasho Bongo, Khadija Omar Kopa kwa kudai kuwa ni mtoto wa kuzaliwa
kabisa na muimbaji huyo.
Akizungumza
na Ijumaa Wikienda, jamaa mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la
Dully ambaye amekumbana na ushawishi mkubwa kutoka kwa Talick, alisema
amekuwa akipata usumbufu mkubwa kutoka jamaa huyo akimuomba urafiki wa
karibu akidai hata mama yake (Khadija Kopa) ameshamwambia.
“Dah!
Dunia hii! Sijui hata alipata wapi namba yangu na kuanza kunishawishi
eti tuwe marafiki kwani hata mama yake, Kopa anajua, nikashindwa
kumuelewa ni urafiki gani wa mwanaume kwa mwanaume,” alisema Dully.
Baada
ya kupata taarifa hizo, Ijumaa Wikienda lilimtafuta Kopa ili
kuzungumzia namna jina lake linavyotumika ambapo alisema hamfahamu huyo
mtu na aache kutumia jina lake.
“Huyo
mtoto mi simfahamu, amepiga picha na mimi kama mashabiki wangu wengine
lakini huwa siwafahamu wote, aache kabisa ujinga wake mimi ni mtu mwenye
heshima zangu,” alisema Khadija Kopa.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >