MWANADADA anayefanya
poa kwenye anga la filamu Bongo, Lucy Komba amejikuta akibaki na
viulizo vingi kutokana na kitendo cha msanii mwenzake, Aunt Ezekiel
kuishi mbali na mumewe anayefahamika kwa jina la Demonte kwa kipindi
kirefu, jambo ambalo yeye hawezi kulifanya.
Akizungumza
na paparazi wetu, msanii huyo alisema kitendo cha Aunt kuolewa na
kuishi mbali na mumewe kinamfanya abaki na maswali mengi kichwani,
sababu wanandoa kuishi mbalimbali husababisha wahusika kuumizana kichwa
kwa kiasi kikubwa na kukosa amani ya moyo.
“Namshangaa
Aunt anawezaje kuishi mbali na mumewe kwa kipindi kirefu, binafsi
siwezi. Kama hivi ninavyotarajia kuolewa hivi karibuni, nimekubali
kuachana na dili zangu zote za hapa Bongo, nikiolewa naenda kuishi
Denmark kwa mume wangu,” alisema Lucy Komba.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >