KUTOKANA na
kubadilika kimuonekano na kila kukicha makalio kuzidi kuwa makubwa,
mtangazaji maarufu Bongo, Maimartha Jesse amenangwa kwamba anatumia dawa
za Kichina kuyaongeza ukubwa.
Tofauti
na alivyokuwa zamani, Maimartha kwa sasa anaonekana kuwa na makalio
makubwa hali ambayo imewashtua baadhi ya wadau wake wa karibu na kusema
kwamba mwanadada huyo anatumia dawa za kuongeza makalio kwani yeye
mwenyewe anaziuza dukani kwake.
“Yaani
Maimartha anashangaza kweli kwani kila kukicha makalio yanaongezeka
wakati zamani alikuwa mwembamba pia hivi sasa anaonekana kuwa ana shepu,
kwanza kuna wakati hayampendezi,” alisema mdau mmoja pasipo kutaja
jina.
Maimartha alipoulizwa kuhusu ishu hiyo alisema: “Jamani nimeridhika tu na maisha yangu situmii dawa za kuongeza makalio.”
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >