MWANADADA anayefanya
vizuri katika kiwanda cha filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema
watoto wanamkumbusha namna alivyoishi akiwa yatima, hivyo anawapenda
sana.
Nisha alitoa kauli hiyo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar
juzikati wakati wa hitima ya kuwakumbuka marehemu ambapo Nisha
alionekana kuwa kivutio kwa watoto waliofika viwanjani hapo kwa ajili ya
kaswida, kwani mara baada ya kisomo kumalizika, watoto hao walimfuata
na kucheza naye.“Kiukweli, nimefurahi sana kucheza nao kwani watoto ndiyo watu pekee wanaonipa furaha katika maisha yangu kwani mimi ni mtoto yatima,” alisema.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >




