Naitwa hilda nina miaka 24 nilijiingiza kwenye mahusiano namvulana mmoja ambaye nampenda sana tulikua tunasoma wote chuo kimoja baada ya kumaliza chuo kila mmoja akaenda kwao tuliagana vizuri, akaniahidi kuwa baba wa wanangu baada ya muda. Kila mmoja akiwa kwao mawasiliano yakawa yamepungua nikawa namlalamikia sana juu ya yeye kutokunitafuta.
Rafiki nisikufiche huyu mvulana nampenda sana hili lilinipelekea kuwa na wivu sana juu yake nikahisi naibiwa kwa sababu tulipokua wote chuo alipenda kuniambia ananipend sana ila baada ya kuagana hakuwa ananiambia tena.
Siku moja nikamuuliza kwa nini hanitamkii tena kama ananipenda hakunipa jibu la moja kwa moja nakumbuka hiyo siku nilimlalamikia sana.
Siku moja akanitumia sms akaniambia amechoka kulaumiwa hataki tena uhusiano nililia nikajaribu kumplease akakataa akasema anataka tuwe marafiki tu.
Kiukweli nampenda sana natamani arudishe moyo wake kwani ni yeye wa pekee katika moyo wang.
Naomba nishauri nifanyeje sababu nimechanganyikiwa Mie!
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >