Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja.
Akizungumza na paparazi wetu, Kajala
alisema amefanya tathmini na kugundua mastaa wengi wamekuwa wakiambulia
umaskini baada ya umaarufu kupotea hivyo ameona ashtuke mapema kwa
kufanya biashara mbalimbali ambazo zitamjengea msingi mzuri maishani.
Staa wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu.
“Nimeshtuka, sihitaji bifu na
mtu, biashara tu na hata safari za nchini China kwa sasa ni kwa ajili ya
biashara pekee na si vinginevyo, ukitaka pochi, viatu na vitu vingine
vingi utapata,” alisema Kajala aliyekuwa akiogelea katika bifu kali na aliyekuwa shosti wake, Wema Sepetu.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >




