Ni
kawaida ya dada zetu hapa Tz,siyo wote ila ni baadhi yao kujigonga kwa
mtu yeyote pale apatapo umaarufu,haijalishi alikuwa handsome au mtu wa
kawaida,ni pale tu anapoanza kupata jina ndio unaona idadi ya watu
wanaongezeka si tu wadada yani hadi idadi ya marafiki huongezeka pale
mtu apatapo umaarufu,ila kwa Diamond Platnumz wamembatiza hadi jina na
kumuita sukari ya warembo,Jina hili limetokana na jinsi wadada zetu
wanavyompenda msanii huyu tena ile zaidi ya kimuziki.
Aliyempa jina la sukari ya warembo hakukosea kabisa cause hivi sasa Diamond Platnumz si yule wa zamani wa mbagala tena ambaye kila mtu alikuwa anamdharau,pale kabla hata hajatoka kulinganisha na hivi sasa.
ni mfululizo wa wadada walioteyari kuuza roho zao kupata attention kutoka kwa mwanamuziki huyu,ila swali la kujiuliza ni mapenzi ya kweli au ni umaarufu tu alionao ndio kinachotengeneza sukari hiyo,unaweza kusema labda ni zile Benjamins(money) alizonazo ndio zinaongeza utamu wa sukari hiyo..well,nobody seem to know the answer…ila mbali ya hayo yote mwisho wa siku ni kukubali tu the guy anaweza.
Kati ya mwanamuziki anayeongoza kuwa na ladies skendo basi huyu raisi wa wasafi hawezi kusahaulika hata kwabahati mbaya,cause for the past year tumeweza kusikia that amedate na wadada kama watatu hivi,mbali na rumors zile za hapa na pale ambazo hazina uthibitisho kwamba ni kweli au si za kweli,he has been on and off to these ladies.
Ni Raisi wa wasafi,Diamond Platnumz aliyeweza kujipatia umaarufu mkubwa kutokana na kipaji chake cha kutoa hit tracks nzuri zilizoteka nyoyo za mashabiki wa kila rika na kila nchi hapa africa na nje ya africa, kokote kule wasikiapo track kali za mwanamuziki huyu,ni umaarufu uliotokana na juhudi alizonazo pamoja na kipaji chake mwenyewe ndicho kilichopelekea kupata umaarufu huu ndani ya muda mfupi tu.
CREDIT : VIBE

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >