Habari Kali
Loading...

Ray C Foundation yaandaa kipindi cha TV "Pamoja Inawezekana" ambacho kitaelimisha jamii juu ya madawa ya kulevya

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Msanii wa muziki Rehema Chalamila ‘Ray C’, kupitia Ray C Foundation ameanza kuandaa kipindi chake cha TV ‘Pamoja Inawezekana” ili kuendelea na jitiada za kuendeleza kuelimisha jamii juu ya madawa ya kulevya.

Ray C kupitia instagram yake amesema:

"Preparing my TV programme Pamoja Inawezekana,Ray C foundation inawaletea kipindi cha pamoja inawezekana,stay tuned people more to come.
 
"Kipindi maalum cha ‘Pamoja Inawezekana’ kitakujia hivi karibuni,makubwa mengi yatakuja kupitia Taasisi yetu,kwa walio mikoani tupigie 0658009715 au barua pepe raycfoundation2014@gmail.com,itakuwa na mambo mbalimbali yanayohusu matatizo au athari za madawa ya kulevya,tutawatangazia hivi karibuni.Ewe ndugu jamaa rafiki anaesumbuliwa na madawa ya kulevya usisite kuwasiliana na sisi tutakusaidia kwa hali na mali” Alisema Ray C


BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top