MSANII wa kizazi kipya nchini Tanzania Jailun ally A.k.A Jailun boy de loved,anatarajia kumfikisha mahakamani aliyekua manager wake Msafiri Peter Damian, Jailun ambaye alimkabidhi Papaa misifa kiasi cha pesa shiling Milion 2 kwajili ya promo ya kazi yake mpya aliyefanya na Alikiba (Naumia Roho), lakin boss uyo hakuna chchote alichokifanya zaid ya kubomoa pesa za dogo,mnamo mwezi wa 3 jailun tar 20 Jailun alimkamata papaa misifa na kumlaza sero siku moja katika kituo cha police staki shari ukongo Jijini Dar Es Salaam,baada ya kutoka kwa mdhamana ndio dogo akaamua kwenda kumshitaki mahakamani kwa utapeli wa manager fake uyo,Jailun akizungumza,

Unajua jamaa yule sikujua kama ni tapeli kiasi kile alinikuta nafanya show snowie hotel bomang'ombe akanikubali sana na akaomba kwa my brother NGEREZA kunichukua ili anitoe,lakini cha ajabu nilikaa muda sana bila kuona msaada wake wowote, baadae akasema mimi na Ngereza tuchange tutoe milion 3" kwajili ya kazi zangu,eti na yeye atachangia milion 3 iwe sita,kumbe yule jamaa tapeli sana sijawahi ona asee,ndipo tulipo mpa hakuna alilofanya zaidi ya kutoa shiling 20000 kwa kila dj na kazi yangu haikufanya poa ndipo nikaanza kuhangaika mwenyewe,kiukweli namchukia sana yule mtu ni adui no moja katika mafanikio yangu,
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >