Wana sisi wazima huku najua hakuna fujo sana.
Na kuna watu makini wa kunisaidia.
Wapenzi
nnamdogo angu ana kama 26 kaolewa na mtu wa Dodoma. Naishi nae karibu
kama nyumba 5 kutoka kwangu amepanga chumba1 self containal.
Sasa kama mwezi mkwewe alikuja kumsalimu.
Na
alsema anakaa siku3 jamani had leo mumewake analala kwa marafiki zake
juzi nasikia anaongea na ndugu zake kuwa atarudi hadi pasaka iishe
jamani mwezi na siku kadhaa na analala kitandani bila aibu.
Anaogopa
kumwambia mumewe atahisi anamchukia mama yake na hivyo anataka jumamosi
kuondoka kwenda kwao Morogoro ila mkwe haoneshi hata. Kuondoka kasema
kama haukaisana utanikuta.
Hebu mshaurin mdogo angu jamani.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >