Habari Kali
Loading...

Mzazi matatani kwa wizi wa mtoto wa Siku 5 huko Mbeya..

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > BABA MZAZI ANAYETUHUMIWA KWA WIZI WA MTOTO
Jeshi la Polisi linamshikilia Salehe Issah Mwangosi(29) Mkazi wa Tankini Kasumulu Kata ya Itope Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya kwa tuhuma za wizi wa mtoto jinsi ya kiume mwenye umri wa  siku sita.
 
Imedaiwa kutenda kosa hilo dhidi ya mzazi mwenzake aliyefahamika kwa jina la Mboka Mwakikagile(21)mkazi wa Kitongoji cha Sama A Kijiji cha Ibanda Kata ya Itope Jumapili April 6 mwaka huu majira ya saa nne asubuhi kwa kushirikiana na mwanamke mmoja ambaye hajafahamika jina mara moja aliyejifanya ni mama yake mkubwa wa mtuhumiwa.
 
Mipango hiyo iliyoanza kuandaliwa na mtuhumiwa siku tatu baada ya mtoto kuzaliwa kwa kutumia simu ya kiganjani ya mtuhumiwa yenye namba 0767356222 na mzazi wa mtoto kwa namba 0757006839 ambapo siku ya tukio Salehe alimwambia kuwa mama yake mkubwa angekwenda kumjulia hali mtoto aliyezaliwa.
 
Baada ya Salehe kuwasiliana na mzazi mwenzake walikubaliana Mama yake mkubwa angekwenda Jumapili Aprili 6 mwaka huu majira ya saa nne asubuhi ambapo mwanamke huyo alifika nyumbani kwa Mboka(Mzazi wa mtoto)ambapo aliwakuta wazazi wake akiwemo Mzee Lupalo Elija Mwakikagile(90) na mkewe Nelly Kyusa(49) ambao walimpokea.
 
Mwanamke huyo alifikanyumbani kwa Mwakikagile akiwa ameshika mkoba wenye nguo za mtoto mchanga,sabuni na mahitaji mengine ambapo alijieleza kuwa yeye ni afisa wa Mamlaka ya mapato na Mama mkubwa wa Salehe hivyo amekuja kwa ajili ya kumjulia hali na kumpa pole Mboka kwa kujifungua.
 
Mama huyo baada ya kumwangalia Mtoto alidai ana matatizo ya macho hivyo waende naye Zahanati ya Njisi Kasumulu kwa ajili ya matibabu

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top