Habari Kali
Loading...

KIONGOZI WA KANISA AMKINGIA KIFUA JOKATE....

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > KIONGOZI wa kwanya katika Kanisa la St. Peter, Oysterbay jijini Dar, Rogers Mgonja amemtetea mwanamitindo mahiri Bongo, Jokate Mwegelo kuwa hajalikacha kanisa kama inavyodaiwa.
Mwanamitindo mahiri Bongo, Jokate Mwegelo
Hivi karibuni ziliibuka taarifa kuwa, Jokate amezuiwa kutinga kanisani hapo kutokana na kuvaa mavazi ya nusu utupu yasiyoendana na maadili.
“Jokate ni mwanadada mwenye nidhamu sana kanisani, viongozi wote wanampenda ni mpole na msikivu, Kama ni mavazi, kanisani anavaa mavazi ya heshima ni ngumu sana kumfukuza kwa sababu ambazo haziingiliani na masuala ya kanisa,” alisema Mgonja.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top