Habari Kali
Loading...

KAJALA AWA BALOZI WA WANAWAKE BONGO

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > Staa maarufu wa filamu hapa Bongo, Kajala Masanja hivi karibuni alipata shavu la nguvu baada ya kuibuka kuwa balozi wa wanawake Tanzania nzima kupitia taasisi ya Women Connect iliyopo jijini Dar.
Staa maarufu wa filamu hapa Bongo, Kajala Masanja.
Akizungumza na Ijumaa, mkurugenzi wa taasisi hiyo, Hafsa Semdaiya alisema wameamua kumchagua Kajala kwa kuamini ni kioo cha jamii na ni staa wa kwanza kuonesha moyo wa kuitikia wito kwani alianza kwa kutoa misaada kwenye kituo cha watu walioathirika na madawa ya kulevya.
“Kwa kweli kigezo kikubwa tulichokiona kwa Kajala ni moyo wake wa kujitoa na pia tumemuona ni kioo cha jamii na kama mwanamke anayejali, amekuwa mstari wa mbele kwenye kutoa misaada mbalimbali kwa watu wenye uhitaji,” alisema Semdaiya.
Mkurugenzi huyo aliongeza kuwa, taasisi hiyo inajihusisha na vitu vingi ila Kajala atahusika zaidi na kuchangisha fedha ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kuwasaidia wanawake wenye vimbe mbalimbali.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top