Muasisi wa Takeu Style Mr Nice ameamua kwenda kujiuguza kwa Bibi yake anayeishi maeneo ya Kibamba, hiyo ni baada ya kunusurika kwenye ajali mbaya ya barabarani iliyochukua uhai wa rafiki yake siku ya ijumaa iliyopita, inadaiwa siku ya Tukio Mr Nice akiwa na rafiki yake huyo aliyezikwa Leo Kijijini Kwao Kibosho, walikua wanatoke maeneo ya La Fiesta kuelekea Rose Garden Kibosho kwa bahati mbaya kulikua na mti umekatika kutokana na mvua kali iliyokua inanyesha kwa hiyo barabara ilikua inatumika nusu kwenye kipande hicho mara dereva bajaj akiw katika mwendo wa Speed akaona kuna Gari aina ya Land Cruiser inakuja mbele yao, katika kujiokoa akaielekeza bajaj kwenye mti mwisho wa siku Dereva na Mr Nice waliumia rafiki yao akapoteza maisha, sasa baada ya hapo Nice akapelekwa Hospitali ya Mwananyamala na baadae kuachiwa, sasa hivi inasemekana anajiuguza kwa bibi yake anayeishi Kibamba jijini Dar es
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >