Habari Kali
Loading...

Interview na Akothee, Mkenya mwingine aliyefanya kolabo na Diamond Platnumz

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > Akothee amekua msanii wa kwanza Kenya kufanya kolabo na mwimbaji Mtanzania Diamond Platnumz, ni Mwanamke mwenye historia ndefu ya maisha ya kuanzia kuwa Dereva Taxi Mombasa Kenya kabla hajaolewa na Mzungu na kwenda Ulaya kisha baadae akarudi Kenya baada ya ndoa kuvunjika.
Anasema ‘Mimi huwa napenda raha sana, kuna wakati Diamond alikuja Mombasa mwaka 2013 ambapo nilikua miongoni mwa watu waliokwenda kuchukua watu wake Airport nikajiuliza kwanini siku moja nisifanye wimbo na huyu kijana wa bongo? kweli nimefanikiwa kurekodi naye hatimaye, siwezi kusema kama Diamond kanitoza pesa kurekodi naye ila ngoma imechukua gharama kubwa’
Tazama hii video hapa chini akijieleza zaidi kisha video ya wimbo wenyewe chini ya hii video.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top