MAMLAKA
ya Udhibiti,Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), inatarajia
kukusanya maoni ya wananchi juu ya viwango vya nauli za mabasi
yatakayotoa huduma ya usafiri wa haraka Jijini Dar es Salaam.
Taarifa
hiyo imetolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa SUMATRA kwa vyombo vya habari
kwenda kwa wananchi ambapo ofisi hiyo itawaalika wadau wote wa usafiri
hususani wananchi kuchangia maoni kwenye mkutano utakao fanyika januari 5
kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kuanzia saa 3 na nusu
asubuhi.
Mamlaka
pia inapokea maoni ya wananchi kupitia anuani ya ofisi ya Mkurugenzi
Mkuu wa mamlaka hiyo ambayo ni S.L.P 3093 au kwa barua pepe ambayo
info@sumatra.go.tz ambapo kabla ya kufikia uamuzi wadau wanatakiwa kutoa
maoni ya kuridhia viwango vya nauli kwa mujibu wa sheria ya Sumatra.
Maoni
ya maandisi yatapokelewa kwenye ofisi ya Mkuregenzi Mkuu iliyopo Jengo
la Mawasiliano House Makutano ya barabara ya Ali Hassani Mwinyi na Nkumo
kuanzia Saa 4 asubuhi hadi saa 9 alasiri mwisho wa kupokelewa maoni
hayo ni Januari 13 mwaka huu.
Mamlaka
hiyo imepokea maombi ya nauli kutoka kampuni ya UDA-RT inayolenga kutoa
huduma ya mpito ya usafirishaji jijini Dar es Salaam katika kutekeleza
awamu ya kwanza ya mradi wa Dart.
Maombi
yaliyowasilishwa na kampuni hiyo ni Safari kwenye njia za pembeni
(feeder route) shilingi 700 ,safari kwenye njia kuu (trunk route)
shilingi 1200 na njia zote mbili ni 1400 ambapo wanafunzi watalipa nusu
nauli anayotoa mtu mzima.
Mpekuzi blog
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >