January 28 Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF Jamal Malinzi
alifanya mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya shirikisho hilo
na kutangaza msiba wa aliyekuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya TFF na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa Simiyu Epaphra Swai.
Malinzi pia ametumia fursa hiyo kuomba radhi vilabu 15 vya Ligi Kuu kufuatia lile sakata linalopingwa na Simba la kuwapa ruhusa Azam FC kucheza mechi za kirafiki na kuahirishiwa baadhi ya michezo yao ya Ligi, kitu ambacho Simba wanahofu ya kuwa kuahirishwa kwa mechi hizo kunaweza kutengeneza mazingira ya kupanga matokeo.
“Kiukweli
naomba nivitake radhi vilabu vyote 15 vya Ligi kwa kosa lililofanyika
la kuwaruhusu Azam FC kwenda Zambia kucheza mechi za kirafiki, najua
maamuzi yamefanyika mimi nikiwa Burundi, lakini kama kiongozi nakiri
kosa kufanyika na naviomba radhi vilabu vyote, kuhusu Yanga kutofanya
uchaguzi ukweli ni kuwa Yanga hawapo juu ya sheria na wanapaswa
kuheshimu katiba yao na ya TFF” >>> Jamal Malinzi
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >