
Usiku wa January 11 Staa wa Barcelona Lionel Messi aliandika historia nyingine baada ya kushinda tuzo ya Ballon d’Or kwa mara ya tano akiwashinda wapinzani wake Cristiano Ronaldo pamoja na Neymar.
Mashabiki wa Cristiano Ronaldo katika
mji wa Madeira alipozaliwa staa huyo hawakufurahishwa na ushindi wa
Messi..walichofanya waliamua kwenda kwenye sanamu lake lililopo katikati
ya mji na kuanza kulichafua kwa kuandika jina la Messi.

Sanamu la Cristiano Ronaldo likionyeshwa kwa nyuma lilivyochafulia huku likiandikwa jina la Messi
Mashabiki hao walichafua sanamu hilo
lililowekwa mwaka 2014 kwa kutumia rangi nyekundu wakiandika jina lake
pamoja na namba 10 ambayo imekuwa ikitumiwa na Messi kama ishara ya
kuchukizwa na kushindwa kwa staa wao Ronaldo.

Ronaldo na mtoto wake wakiwa mbele ya sanamu hilo baada ya kulizindua mwaka 2014
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >