

Zawadi ya Samatta kwa Waziri mkuu ikipokelewa na waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
Headlines za Mbwana Samatta
kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani ya
Afrika, bado inazidi kuleta furaha kwa wapenzi, mashabiki, watanzania na
viongozi wa serikali kwa ujumla. Usiku wa January 12 Mbwana Samatta alifanyiwa party iliyopewa jina la Samatta Party. Party ilifanyika na serikali kutangaza kumpatia zawadi ya kiwanja Kigamboni na siku kadhaa mbele atakabidhiwa hati.

Mkuu wa idara ya Vodacom kanda ya Pwani Harrieth Koka akiwa katika picha ya pamoja na Samatta

Mshindi wa Big Brother Afrika Idris Sultan akiwa na Samatta


Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Pope kushoto na mwandishi wa habari za michezo Saleh Ally


Samatta katikati, kushoto waziri wa michezo Nape Nnauye na waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi


Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akithibitisha serikali kumzawadia fedha na kiwanja maeneo ya Kigamboni.


Samatta akiwa na waziri Nape na Lukuvi pamoja na mama na baba yake.


Thomas Ulimwengu alikuwepo pia kumsapoti Samatta
CHANZO CHA PICHA: VODACOM
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >