Star wa muziki Bongo, Alikiba a.k.a ‘King Kiba‘ ambaye siku chache zilizopita ameachia ngoma yake na mkali wa masauti, Christian Bella amekuja na good news ambayo ni zawadi tutakayoipokea December 26 2015 siku ya boxing day !!

Tumeona post nyingi za Alikiba akiwa kwenye show nje ya TZ, ikiwemo Ulaya na Marekani, Alikiba kaona zawadi yake ya Christmas atashare na Wana-Dar es Salaam wa nguvu.. zawadi yenyewe ni show ya nguvu pale Escape 1, mzigo wake utakuwa nonstop kwenye stage yeye pamoja na bendi yake.

Najua hakuna mwenye wasiwasi na ukali wa Alikiba akiwa na kikosi cha bendi yake kwenye stage, basi December 26 2015 ni muda wake kukushukuru shabiki wake wa nguvu pale Escape 1 kwa burudani ya nguvu.
Mzigo mpya wa Alikiba & Christian Bella ndio huu hapa kwa mara nyingine, ngoma inaitwa ‘Nagharamia‘
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


