STAA anayejitambua ndani ya gemu la filamu Bongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amefungua kinywa chake kuwa watu wanaosubiri amnadi baba watoto wake watakuwa wamechelewa sana kwani hana mpango huo kwa sasa.
Akichonga na Amani Odama alisema, kila kitu katika maisha kina mpangilio wake hivyo wakati utakapofika atamtambulisha baba wa mtoto wake kwa kuwa yupo hivyo watu wapunguze haraka na wala yeye siyo msiri kama wanavyomjadili.
“ Mimi nafikiri kila mwanadamu ana taratibu zake za maisha hivyo kuhusu kumuweka wazi baba mtoto wangu si jambo baya wakati ukifika nitamuweka hadharani,” alisema Odama
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >