Staa wa Bongo Movies, Shamsa Ford ambaye kwa hivi sasa ni mpenzi mpya wa mwanamuziki Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wa zamani wa Msanii huyo, Siwema wameanza kuchimbana mkwara baada ya hivi karibuni kurushiana madongo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shamsa aliposti picha na maneno
akielezea kuwa anajiona ni mwanamke bora kwa kuwa ameweza kuzaa kwa njia
ya kawaida na Mungu amemuepusha na kujifungua kwa kisu ambapo posti
hiyo ilimkera Siwema.
Kwa upande wake Siwema, aliichukua posti hiyo kama ilivyo na
kuibandika kwenye ukurasa wake wa Instagram ambapo alianza kumchamba
Shamsa kuwa siyo kwamba alipenda kuzaa kwa oparesheni ila alishauriwa na
madaktari hivyo asijione amefika kwa Nay maana akitaka kurudi hatatumia
hata sekunde.
Mwandishi wetu aliwatafuta wawili hao ili kujua kulikoni
ambapo Siwema alisema kuwa amechoshwa. Kwa upande wake Shamsa alisema
hataki kuzungumza chochote atampa ‘kiki’.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >