Mwaka jana mwishoni (2014) baada ya Diamond kukutana na wasanii
wakubwa wa Afrika wakiwemo Fally Ipupa na P-Square nchini Nigeria,
alisema “nikikutana na 18 huwa naachia bonge la shuti mpaka nishinde” na
kauli yake imetimia.
Staa huyo wa ‘Ntampata Wapi’ amefanikiwa kufanya collabo na staa wa
DRC, Fally Ipupa ambayo ni miongoni mwa nyimbo nne alizopanga kuzitoa
kati ya sasa na mwezi wa tatu.
Meneja wa Diamond, Babu Tale amesema kuwa wanampango wa kutoa nyimbo
nne mfululizo hadi kufika mwezi wa tatu 2015, zikiwemo za Diamond na
zingine alizofanya collabo na wasanii wa nje.
“Huu mwaka tunaugeuza vizuri kutoka January mpaka March tuna
release nyimbo nne mfululizo ambazo ni za Diamond na zingine ni za watu
wa nje ambao feauturing Diamond.
Fally ametokea kumkubali Diamond,
kwahiyo ngoma inakuwa ya Fally na Diamond, kila mmoja anafanya kwenye
sebule yake tunakutana kwenye video kama ni Godfather, kama ni Adam,
kama ni Moe Musa kama ni nani yeyote yule” Alisema Babu Tale kupitia Amplifaya ya Clouds Fm.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >



