Mabinti
hao ambao wanatumia mikono minne na miguu mitatu wamesema kwa sasa
wanafuraha ambayo hawajawahi kuwa nayo katika maisha yao baada ya
kukutana na mwanaume aliyewapenda kwa mara ya kwanza Mwalimu Jasimuddin Ahmad.
“… Wakati
tunakutana na Jasimuddin wote tuliona kuwa huyu ni mwanaume ambaye ana
upendo wa kweli kwetu, ni kweli anao… anatupenda kweli toka moyoni
mwake, tuna furaha toka aje maishani mwetu.. tuliteseka huko nyuma
lakini hatutaki kuteseka tena, kwa kweli tuna matumaini ya kuwa naye
muda wote wa maisha yetu”, wamesema mapacha hao.
Mabinti
hao ambao wanatumia Tumbo moja walizaliwa kwenye familia masikini
karibu na Kolkata, Magharibi mwa Bengali, wazazi wao walishindwa kumudu
gharama za kuwatenganisha maungo yao walipokuwa wadogo.
Waliwahi
kujiunga na kampuni ya kucheza Sarakasi ambapo walikuwa wakisafiri kwa
kufanya maonyesho mbalimbali huko India ambapo ndipo walikokutana na
Ahmed.
“Tangu
nikutane nao nilichukulia maumivu yao kama ya kwangu mwenyewe daima
nitakuwa hivi, nimekuwa nikitibu matatizo ya watu wengine kama yangu na
kujaribu kufanya mambo mazuri” alisema Ahmed.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >



