Habari Kali
Loading...

DIAMOND AKAMILISHA TAKEU KWA MADEMU...IDADI KAMILI YA ALIOWALA URODA HII HAPA !

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ amekamilisha ‘TAKEU’ kwa mademu baada ya kufanikiwa kutembea na mademu wanaosifika kwa uzuri kutoka Tanzania, Kenya na Uganda.
Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’.
Historia inaonesha dogo huyo kutoka Tandale aliwahi kufanya kazi na msanii mrembo kutoka nchini Kenya, Avril na ikadaiwa licha ya kukutana kikazi jamaa alimsaliti mpenzi wake wa enzi hizo, Penniel Mwingilwa.
Beautiful Onyinye, Wema Sepetu.
Aidha, Diamond amekuwa mpenzi wa Beautiful Onyinye, Wema Sepetu kwa muda mrefu kabla ya hivi karibuni wawili hao kuamua kupeana likizo.
Mdada anayetisha kwa uzuri na mkwanja nchini Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’.
Katika kukamilisha TAKEU ambayo ni staili ya muziki ya Msanii Nice Lucas ‘Mr Nice’ inayogusa nchi hizo za Afrika Mashariki, Diamond juzikati alimnasa mdada anayetisha kwa uzuri na mkwanja nchini Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ na kufanya naye project ambapo inadaiwa wawili hao walivuka mipaka na kupeana penzi.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top