Oscar Pistorius akisikiliza hukumu yake.
Jaji Thokozile Masipa akisoma mapitio ya kesi ya Pistorious.
MAPITIO ya hukumu ya kesi inayomkabili mwanariadha mlemavu, Oscar
Pistorius wa Afrika Kusini ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp
inaendelea muda huu chini ya Jaji Thokozile Masipa.Jaji Masipa alimkuta Pistorius na hatia ya kumuua mpenzi wake Reeva katika Siku ya Wapendanao 'Valentine', Februari 14, mwaka jana bila kukusudia jambo lililozua minong'ono kwa baadhi ya wananchi wakidai kuwa amempendelea staa huyo.
Hukumu hiyo itachukuwa siku kadhaa kabla ya adhabu kutolewa.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >