
Mhe. Guy Scott.
KUFUATIA kifo cha Rais Michael Chilufya Sata, kilichotokea tarehe 28
Oktoba 2014, mjini London na kwa kuzingatia Katiba yake Kifungu cha 38
(1) kinachohusu mamlaka ya Rais, kwamba nafasi ya Rais ikiwa wazi kwa
sababu yoyote ile, Makamu wa Rais atakaimu madaraka ya kiti cha Urais
hadi uchaguzi mdogo utakapofanyika ndani ya siku tisini (90), hivyo
Serikali imemteua Mhe. Guy Scott (MB), Makamu wa Rais, kukaimu nafasi
hiyo katika kipindi hiki cha mpito.Tayari aliyekuwa anakaimu madaraka ya Urais, Mhe. Edgar Lungu (MB) ameshamkabidhi madaraka hayo.
Hadi sasa kulingana na taarifa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, bado haijafahamika maombolezo rasmi yataanza lini na kwa siku ngapi au mazishi yatafanyika lini.
Haya yote yanategemea maamuzi ya kikao cha Baraza la Mawaziri ambacho kinakutana hivi sasa.
Hizi ni taarifa tunazoendelea kupokea, hivyo nasi tutaendelea kuwataarifu kwa kadri tunavyozipata.
UBALOZI , LUSAKA , ZAMBIA
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >