
MSANII mkongwe wa filamu Bongo Issa Musa ‘Cloud’ amekana tuhuma zinazosambazwa mtandaoni kuwa alimfitini muigizaji mwenzake, Mohammed Mwikongi ‘Frank’ ili kumzuia asisafiri kuelekea Uingereza miezi michache iliyopita.
“Mimi sikumfitini Frank, yule mtu
alinifuata mwenyewe kwa makubaliano ya mdomo kuwa nikacheze filamu,
sikuwa peke yangu, tuliongozana na kina Monalisa na Riyama, tatizo ni la
huyo aliyenipeleka kule, nilifanya mambo kwa mazoea na ndiyo sababu
anaamua kusambaza uongo dhidi yangu,” alisema mkongwe huyo wakati
akizungumza na Global Tv.
Aliwasihi wasanii wenzake nchini kuacha kufanya kazi kwa mazoea bali
wahakikishe wanaingia mikataba ya maandishi ili wawe na ushahidi wakati
waliokubaliana nao kazi wanapoleta ujanjaujanja kama ilivyomtokea yeye
katika safari hiyo ya Uingereza ambayo sasa inamletea uadui na Frank.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >