BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
.jpg)
Kukosekana
kwa Waziri na pia mwanasheria Mkuu kujiondoa wote wakiwa wanaiwakilisha
Zanzibar ,wajumbe walio wengi wameichukulia hali hiyo kama kujitoa kwa
Zanzibar katika kutunga Katiba mpya kwani itakosa nguzo muhimu
zinazohitajika kutoka pande mbili za nchi washirika wa Muungano.
Sababu
zinadaiwa kujitoa kwa viongozi hao wakuu ni kutokana na mwenendo mzima
wa kutunga Katiba ambao umekumbatiwa na Chama tawala kwa maslahi yao
binafsi na kuondoa ile hali ya kuifanya Katiba hiyo iwe inatokana na
maoni ya Wananchi kama yalivyowasilishwa kwenye rasimu ya Jaji warioba
na tume yake ambayo imesainiwa na raisi wa Jamhuri wa Muungano. CCM
hawakujali saini ya Raisi wala ghali wameutupilia mbali na kuchomeka
waliyokuja nayo kwenye viroba.
wakuu
hao kwa kuthamini taaluma yao ya uwana sheria hawakuwa tayari kushiriki
kusaidia hila za CCM kugeuza na kupindisha maoni ya wananchi taaluma
yao haiwaruhusu na hivyo wamejiengua kulinda heshima yao na vilevile
kutokubali kuiwakilisha Zanzibar katika uchakachuaji wa Rasimu ya Jaji
Warioba na tume yake ambayo imesainiwa na Raisi.
Inasemekana
pia wakuu hao kabla ya kujiengua walimueleza Raisi wa Nchi yao kile
kinachoendelezwa na kufanywa na CCM ndani ya bunge hilo la katiba na
kuwa wao hawapo tayari kuendelea kukaa na kuandika jambo ambalo
lilimpelekea Raisi wa nchi yao Nheshimiwa Sheini wafanye vile wanavyoona
wao ndivyo ili kulinda maslahi ya Zanzibar na watu wake.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Filed Under:
Kitaifa
Sunday, 7 September 2014