KITUKO! Beautiful
Onyinye, Wema Abraham Sepetu ametoa kioja cha aina yake kwa kuangua
kilio baada ya kuambiwa kuwa mbwa wake aliyepotea amepatikana na
alipokwenda kumfuata akaambulia patupu.
Mbwa wa staa wa filamu Bongo, Wema Abraham Sepetu aliyepotea.
Tukio
hilo lililowaacha watu midomo wazi lilitokea juzikati maeneo ya kishua,
Masaki jijini Dar, ambapo staa huyo alionekana kukatishwa tamaa kwani
alipokuwa anatoka nyumbani aliamini kabisa anakwenda kukabidhiwa mbwa
wake aitwaye Vani aliyepotea miezi michache iliyopita.
“Nilipoambiwa
amepatikana kwanza nilijenga picha kwamba hatimaye furaha yangu
imerejea, nilianza kuvuta picha ya kipindi cha nyuma alipokuwepo
nyumbani lakini nilipokwenda nikakuta ndivyo sivyo,” alisema Wema na
kuongeza:
“Uwiiii
jamani Vani wangu ndio sitomuona tena naumia sana kuondokewa na Vani
nitamkumbuka daima, sijui amekufa au vipi!” alisikika Wema kiasi cha
watu waliokuwepo eneo hilo kumshangaa wakijiuliza ni mbwa tu
aliyemsababisha alie kilio mithili ya kuomboleza.
Wema
ametangaza dau la shilingi milioni moja kwa mtu yeyote atakayefanikisha
kupatikana kwa mbwa wake huyo ambaye mwenyewe anasema alikuwa faraja
kubwa kwake pindi anapokuwa nyumbani.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >