Ndugu
zangu, ni imani yetu kuwa jamii yetu inahitaji kuelimishwa sana
ili tuweze kuikomboa mikononi mwa hii dhambi ambayo ndo dhambi
kubwa kuliko zote......
Tusipende kuiga kila kitu toka kwa WEUPE.Kabla hujafanya maamuzi yoyote Ni bora ukumbuke mambo yafuatayo:-
1. TIGO
Sio tendo asilia katika swala zima la ngono na mapenzi hivyo kumbuka
unapoamua kugawa tako kuwa na uhakika ndio kitu unataka kukifanya na sio
kukifanya kwa vile “mchumba” kaomba/anataka…..
Wewe ndio mwenye maamuzi makuu ya nini unataka kifanyike mwilini mwako. ........
2.Mpaka sasa sidhani kama kuna kondom imara yenye uwezo wakustahimili joto la huko "nyuma" .....
Kondom za
kawaida husababisha muwasho utakaoweza kukusababishia maambukizo
mengine yatokanayo na wadudu asilia walioko sehemu hiyo ya haja
kubwa......
3.Mara
mishipa ya makalioni ikitanuka kutokana na kufanywa huko mara kwa mara
huwa haijirudi kama ilivyo kwenye uke kwa vile haikuumbwa kwa ajili ya
shughuli hiyo.
EPUKA KUJIZIBA MATAMBARA....UTU WAKO NI MUHIMU SANA.
NI HAYO TU KWA LEO WADAU...!!!
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >