Wanawake wengi nchini na duniani kwa ujumla wanasumbuliwa na tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa ( LACK OF LIBIDO ) pamoja na tatizo la kutofika kileleni. Sababu zinazo changia tatizo hili zimegawanyika katika makundi makuu mawili : ( A ) Sababu za Kisaikolojia { Psychological ) na ( B ) Sababu za Kimwili { Physical }
A. SABABU ZA KIMWILI " PHYSICAL"
1. Anaemia ( ugonjwa huu ni very common kwa wanawake kwa sababu ya kupoteza madini ya chuma wakati wa hedhi )
2. Ulevi Kupita kiasi ( Alcoholism )
3. Utumiaji wa Dawa Za Kulevya ( Kama Vile bangi n.k )
4. Magonjwa makubwa kama vile kisukari.
( Sababu zipo nyingi sana, hizi ni baadhi tu )
B : SABABU ZA KISAIKOLOJIA " PSYCHOLOGICAL "
1. Depression
2. Stress and overwork
3Anxiety " Woga"
4. Kunyanyaswa kijinsia ama kubakwa wakati wa utotoni
5 Kuwa katika matatizo makubwa na mpenzi wako.
6. Kuishi katika mazingira magumu mfano kushare nyumba ama chumba na wazazi wako, wakwe zako ama watoto wako.
HIZI NI BAADHI YA SABABU ZINAZO WAFANYA WANAWAKE WENGI LEO HII KUKOSA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA NA KUTOFURAHIA TENDO HILO.
Hata hivyo sababu hizi hazimuhusu kila mwanamke, wanawake wengine wanasumbuliwa na tatizo hilo tangu walipo vunja ungo.
KUSHINDWA KUFIKA KILELENI KWA WANAWAKE : Hali hii husababishwa na sababu nyingi za kimwili na kisaikolojia kama vile kuwa na msongo wa mawazo, presha,woga, wasiwasi wa tendo la ndoa ,kubakwa ama kudhalilishwa wakati wa utotoni, na/ama kufanya tendo hilo na mwanaume mwenye uwezo mdogo wa kiufundi.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >