Ugonjwa
wa Ebola ambao kwa sasa umeingia kwenye headlines za dunia kutokana na
kuripotiwa kwenye nchi mbalimbali za Afrika sasa umeingia kugusa vichwa
vya habari na kuihusisha Tanzania.
Waziri
wa Afya wa Seif Rashid amesema wagonjwa waliohisiwa kupata maambukizo
hayo kutokana na dalili za awali ni kutoka Benin na Mtanzania lakini
baada ya vipimo wameonekana hawana maambukizo hayo.
Waziri
Seif Rashid amesema kuwa tayari eneo maalumu limetengwa kwa ajili ya
kufanyia uchunguzi wagonjwa wanaotiliwa shaka kuwa na ugonjwa huo ikiwa
ni kauli iliyotoka baada ya kufanyiwa uchunguzi kwa wagonjwa wawili
waliohisiwa.
Kupitia
ukurasa wake wa facebook, Waziri Seif amesema vifaa maalumu
vitakavyotumiwa na watoa huduma katika kuhudumia wagonjwa vimewekwa pia
huku wizara ya afya ikiongeza uwezo wa kufanya uchunguzi katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere ambao wasafiri wengi kutoka nje
huutumia.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >