Habari Kali
Loading...

SHILOLE AKIRI KUTOTUMIA CONDOM AKIFANYA MAPENZI NA NUH....ASEMA "RAHA YA NDIZI NI KULA IKIWA IMEMENYWA"

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


Mwigizaji  wa  filamu  na  mwanamuziki  wa  miondoko    ya  kizazi  kipya, Zuwena  Mohammed  'Sholole'  amesema  kuwa  matumizi  ya  kondom  wakati  wa  mahaba  hayaleti  ladha  ndio  maana   alilazimika  kwenda  kupima  ngoma  na  mpenzi  wake  Nuh  Mziwanda  ili  wasiwe  wanatumia  kondom.

Akizungumza  na  Mwandishi  wetu, Shilole  alisema  kuwa  raha  ya  mapenzi  ni  kila  mmoja  kuwa  na  mwenzake  bila  kuwa  na  kizuizi  chenya  kuondoa  ladha  hiyo  na  baada  ya  kupima  kila  mmoja  ameapa  kutochepuka  ili  asilite  maambukizi  ndani  ya  uhusiano  wao....


"Asikudanganye  mtu, raha  ya  kula  ndizi  ni  kula  ikiwa  imemenywa, ikiwa  na  maganda  inaondoa  utamu  ndio  maaa  mimi  na  mwenzangu  tulilazimika  kwenda  kupima  afya  zetu  na  kila  mmoja  alibainika  ni  mzima hivyo  tumeahidiana  kutosalitiana  ili  tusileteane  maambukizi",alisema  Shilole.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top